ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Punguza mhemuko kuwa mvumilivu wa siasa, watanzania ndio wataamua sio njaa zako.!
Kwenye upigaji wa kura Mabasi na Malori hayatahusika, hivyo jiandae kisaikolojia
Lete ushahidi tuone. Acha mbwembwe banaHuu mkutano ni haufikii wa wagombea ubunge WA CHADEMA. Watu wachache sana
Jakaya kikwete Mwenyekiti wa ccm amatuachia taasisi ya kutibu wagonjwa wa moyo.
rais ni edward lowassa kama hukubariani na hili we ni mpumbavu
Huu mkutano ni haufikii wa wagombea ubunge WA CHADEMA. Watu wachache sana
Sasa ni Kumwapisha tu Mh. Magufuli.Kwa hiyo huo mkutano wa Ifakara ndo wa kumwapisha au...??
Huyu mleta mada ndo boss wa lumumba buku 7
Jiandani kumpokea Rais Lowassa.
Huo wa kutokujuwa lugha yako ya Taifa ni upumbavu tosha.