Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hivi songea si ndo walisema wataje raisi wao mskufuli wakasema lowassaaaaaaaaaaaaa
 
Kweli Magufuli ni nomaaaa... Kafunika mikutano ya Kinana kabisa...

Tena ukizingatia ni chama tawala, kweli magufuli ni noma
 
Historia ya chaguzi Tanzania katika miaka 20 iliyopita inaonyesha wazi kuwa wingi wa watu katika mikutano ya kampeini siyo kigezo cha ushindi. Pamoja na madudu yote ya CCM, wamefanikiwa sana mwaka huu katokana na kuweka level ground kwa vyama vyote baada ya kufanya sehemu kubwa ya matatizo yao yabebwe na vyama vya upinzani.

CCM wakifanya kampeini nzuri watashinda kwa kushindo sana, ila wakikosea kusuka kampeini basi ndiyo hivyo. CHADEMA hawawezi tena kutumia ufisadi wakati CCM wanaweza sana kutumia ufisadi katika kampeini zao. Kigezo cha kuindoa CCM madarakani siyo kigezo chenye nguvu hasa iwapo CCM inaonyesha kuwa imewasafisha wote waliokuwa wanazuia maendeleo ya wananchi wakati wakiwa na madaraka makubwa ya UWAZIRI MKUU, ambao sasa hivi ndio wamehamia CHADEMA sasa.

Ningekuwa kampeini meneja wa CCM, nadhani CHADEMA wangeomba dunia ipasuke wapumzishe nyuso zao.
 
Safi sana Mkuu, unakaribishwa
 
Magufuli amesema atawanyang'anya ardhi wale wote wanaohodhi bila kuziendeleza

akianza na bosi wake itakuwa vzr,ila magufuli hawezi fanya chochote sabubu kila atakapo jaribu kufanya kizuri atajikuta lazima aanze na ccm yake kitu ambacho ni kigumu.
 
Historia ya chaguzi Tanzania katika miaka 20 iliyopita inaonyesha wazi kuwa wingi wa watu katika mikutano ya kampeini siyo kigezo cha ushindi. Pamoja na madudu yote ya CCM, wamefanikiwa sana mwaka huu katokana na kuweka level ground kwa vyama vyote baada ya kufanya sehemu kubwa ya matatizo yao yabebwe na vyama vya upinzani.

CCM wakifanya kampeini nzuri watashinda kwa kushindo sana, ila wakikosea kusuka kampeini basi ndiyo hivyo. CHADEMA hawawezi tena kutumia ufisadi wakati CCM wanaweza sana kutumia ufisadi katika kampeini zao. Kigezo cha kuindoa CCM madarakani siyo kigezo chenye nguvu hasa iwapo CCM inaonyesha kuwa imewasafisha wote waliokuwa wanazuia maendeleo ya wananchi wakati wakiwa na madaraka makubwa ya UWAZIRI MKUU, ambao sasa hivi ndio wamehamia CHADEMA sasa.

Ningekuwa kampeini meneja wa CCM, nadhani CHADEMA wangeomba dunia ipasuke wapumzishe nyuso zao.
Unakumbuka shuka kumekucha..kuondoa mafisadi wakati tayari wanagombea ubunge
 
Punguza mhemuko kuwa mvumilivu wa siasa, watanzania ndio wataamua sio njaa zako.!

Kwenye upigaji wa kura Mabasi na Malori hayatahusika, hivyo jiandae kisaikolojia

Jamani sio ukawa mjiandae kisaikologia maana r mgombea wenu hakubali kushindwa mara anaweza kukimbia ACT. na huku mkimnyima kura
 
CCM ni Chama pekee kinachohubiri amani na utulivu.angalia kwenye ilani yake.
 
Fisadi wote wanaogelea kwenye bwawa la ccm

mwenyekiti mwenyewe=richmond and epa
tibahijuka=escrow tupesa twa mboga
muhongo=escrow
chenge=escrow,rada=nyoka wa makengeza
mwakyembe=vichwa vya treni na mabehewa feki
magufuli=nyumba za serikali na meli ya kigeni
ngeleja=escrow
mkapa=migodi ya makaa ya mawe ya kiwira viwanda vyote
ridhi-1=sheli zote na malory kila kona
nk
 
Sipati picha tarehe 26 mie ntakuwa nakunywa wiskiiii...nimepiga 4 naperuzi JF kuona mabavicha yalivyonuna...

Hadi sasa Magufuli anao uhakika wa kura nyingi tuu baada ya UKAWA kukaribisha fisadi na kumtema Slaa..
 
30.jpg
 
Back
Top Bottom