Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Usipoipenda mdomoni utaipenda rohoni hiyo ndio ccm
Tangu mwaka 1984 mpaka leo? Ccm ya Sokoine HERO... sio hii unayoijua wewe
Usipoipenda mdomoni utaipenda rohoni hiyo ndio ccm
Taratiiib kijana, MAGUFULI NI HABARI NYINGINE NA SIO YULE MSANIIKwa kashfa ipi?
Tangu mwaka 1984 mpaka leo? Ccm ya Sokoine HERO... sio hii unayoijua wewe
Historia ya chaguzi Tanzania katika miaka 20 iliyopita inaonyesha wazi kuwa wingi wa watu katika mikutano ya kampeini siyo kigezo cha ushindi. Pamoja na madudu yote ya CCM, wamefanikiwa sana mwaka huu katokana na kuweka level ground kwa vyama vyote baada ya kufanya sehemu kubwa ya matatizo yao yabebwe na vyama vya upinzani.
CCM wakifanya kampeini nzuri watashinda kwa kushindo sana, ila wakikosea kusuka kampeini basi ndiyo hivyo. CHADEMA hawawezi tena kutumia ufisadi wakati CCM wanaweza sana kutumia ufisadi katika kampeini zao. Kigezo cha kuindoa CCM madarakani siyo kigezo chenye nguvu hasa iwapo CCM inaonyesha kuwa imewasafisha wote waliokuwa wanazuia maendeleo ya wananchi wakati wakiwa na madaraka makubwa ya UWAZIRI MKUU, ambao sasa hivi ndio wamehamia CHADEMA sasa.
Ningekuwa kampeini meneja wa CCM, nadhani CHADEMA wangeomba dunia ipasuke wapumzishe nyuso zao.
Huo wa kutokujuwa lugha yako ya Taifa ni upumbavu tosha.
[h=3]IFAKARA WASEMA MAGUFULI SUBIRI KUAPISHWA TU[/h]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maelfu kwa Maelfu ya wana IFAKARA WASEMA Mh. Magufuli subiri KUAPISHWA TU.
Mungu Mbariki Mh. John Magufuli
Idawa umemjibu vyema huyu jamaaaa, msema kwel n kura, wengi wenu humu mmekula pesa za lowasa ndo maana mwashindana weka post humu ili muonekane mwafanya kaz bt mwsho wa siku kura zenu kwa Magufuli tuu
Hapa kazi tu
..ni kweli ukawa wamepigwa ganzi kuzungumzia ufisadi.
..lakini sasa wameibuka na hoja ya MABADILIKO.
..naona kama vile CCM wana-struggle jinsi ya kuwashawishi wananchi wenye kiu ya mabadiliko.
..sasa hivi ndiyo unaona wamebaki na hoja za kutisha wananchi kuwa wakifanya mabadiliko watakuwa kama LIBYA.
CCM haina haja ya ku-struggle kuhusu mabadiliko kwa vile wanachotakiwa ni kuonyesha tu kuwa wako serious kuleta mabadiliko ndiyo maana wakawatosa viongozi wake waandamizi. Wakumbushe kuwa mabadiliko siyo kubadilisha na majina ya vyama bali ni kubadilisha viongozi; huwezi kupata mabadiliko kwa kuondoa chama cha CCM na kuleta chama cha CHADEMA kinachoongozwa na wale wale waliokuwa CCM.