basi kumbe mafuriko sio ndo idad ya kuraUna hakika gan wote hao wata vote for CCM cz hata mikutano ya Edo ina watu kibao vile vile.
Tatzo la hawa Green Team wanajaribu kuaminisha watu kwamba idadi ya wanaohudhuria mikutano yao = idadi ya kura watakazo pata.
#Fikiri.
kwaufupi uchaguz uliopita ccm iliambulia vitongoj vitatu kati ya 33!!!!!! Mmeisoma noifakara ina jumla ya watu wangapi?
vitatu tu kati ya 33 tena kimoja kilikua na ugomvi kwa kuchakachua!!!!!hapana chezea ifakara tuna msubir mnyama jumannehivi uchaguzi wa serikali za mitaa ifakara ccm mlipata viti vingapi vile?
Kati ya viti 33.
Huu mkutano ni haufikii wa wagombea ubunge WA CHADEMA. Watu wachache sana
[h=3]IFAKARA WASEMA MAGUFULI SUBIRI KUAPISHWA TU[/h]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maelfu kwa Maelfu ya wana IFAKARA WASEMA Mh. Magufuli subiri KUAPISHWA TU.
Mungu Mbariki Mh. John Magufuli
JAMANI VIGODA 3 KATI YA 33 MNACHECHEMEA MNOOOO SUBIRI MUONE VIJANA TUTAVYO FURIKA NAILE SALAM YETU YA LOWASSA MABADILIKO MTAKOMAJeeeeehaahahah watu kama wamepanic vile! , kwani vepe jaman??? rais ndo huyo hapo...sasa nashangaa ooh sijui watu wachache oh sijui nini, hahahah mtanyooka tu na bado
usiwe na pupa wiki ijayo el yuko apo utajipimia mwenyewe sunami
Huko hampat kitu ifakala,kilombelo na mikumi ni ukawa tu
SUBIRI TU KUAPISHWA BABA.....Tanzania ni yako, Watanzania tunakuaminiIFAKARA WASEMA MAGUFULI SUBIRI KUAPISHWA TU
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maelfu kwa Maelfu ya wana IFAKARA WASEMA Mh. Magufuli subiri KUAPISHWA TU.
Mungu Mbariki Mh. John Magufuli
Kwa hayo mashimo na vumbi la barabara lazima apunguze maumivu na panadol labda kawaahidi barabara ya lami