Bila ushabiki naweza kusema picha hizi zinadhihirisha kuwa Magufuli atakuja kuingia madarakani na mandate kubwa. And this is not necessarily a good thing but at this point it is a fact. Kwa sababu anatamba nchi nzima mostly unchallenged and strengthening the base huko vijijini. He is also getting enough support nationally while limited number of urban people wanajipa moja watachukua nchi na mgombea wa Ukawa ambaye hawezi kusafiri zaidi ya saa 1 na gari na kuongea kutokana na ugonjwa wake. Kwediboma na Kibirashi watamsikia Lowassa kwenye radio na huko hata diwani wakimchagua upinzani lakini urais atapewa Magufuli.
This election is almost over.