Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hata Kitanda Kwa Kitanda CCM I tang'oka tu..Lowassa Haziiliki Kwenye Safari Chake.
 
1441685174209.jpghapo ndio dumila upinzani upo juu kwa 99% usiniulize kwa nn wewe fuatilia matokeo ya serikal za mitaa wilaya yote ya kilosa dumila ndio ilitia fora NA HYO PICHA NI YA MKUTANO WA UZINDUZ WA KAMPEN ZA CCM NGAZ YA UDIWAN watu hao hata 40 hawafik waliojazwa hapo ni wamama waliopewa kanga na madela. LOWASA RAIS
 
Nikusaidia kitu mr.chini, uwe unaandika maada za maana naza ukweli, we kila muda unaweka uzi alafu ukifungua hamna cha maana, forum nzima ni uzushi wako,wata kuchoka.

Wanatekeleza hili
 

Attachments

  • 1441685441516.jpg
    1441685441516.jpg
    58 KB · Views: 256
Last edited by a moderator:
CCM OYEEEEE wanaenda Kijiji kwa kijiji. Ndio maana CCM itashinda maana inafikia kila mtu na sio mafuriko ya kutengeneza mjini. This is campaign my friend and not mafuriko ya mjini ya watu wale wale
Mbona dumila mliiruka ha ha ha ha ha kama ni kijiji kwa kijiji,
 
Usitudharau watu wa vijijini kwa hiyo tuwapigie kura kama pongezi ya kutufanya masikini
 
Zaidi ya wanachama mia tatu wa CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na chadema huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa

ITV ilifika katika kijiji cha Engaruka na kushuhudia mamia ya wanachama waliyo kusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.

Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Monduli ni wazi UKAWA wanatarajiwa kupata viti vyote vya udiwani,nafasi ya ubunge na mgombea Urais UKAWA Edward Lowassa anatarajiwa kupata ushindi wa 99% katika jimbo la Monduli.
 
Mbona dumila mliiruka ha ha ha ha ha kama ni kijiji kwa kijiji,

Mheshimiwa Magufuli alifika Dumila. Nyie ndio mnarukaruka. Subiri dawa yenu ya kuruka watu huku ukitegemea wakupige kura. Mtasaga meno.
 
Mheshimiwa Magufuli alifika Dumila. Nyie ndio mnarukaruka. Subiri dawa yenu ya kuruka watu huku ukitegemea wakupige kura. Mtasaga meno.
mkuu sasa kinachokufanya iuongopeni nini makomeo alifika Magole wale jamaa walimzuia kufika Dumila maana angekutana na zomea zomea DUMILA HATUPENDI UJINGA TUNAHTAJ MABADILIKO
 
Ha ha ha ha ha ha ha ajabu saaaana yani turiani watu ndio hao hii aibu Pili vp dumila mkuu mbona huzungumzi yaliyotokea jana na makomeo kuishia barabarani

Hiyo nyomi si ya malori kama Ukawa.
 
mkuu sasa kinachokufanya iuongopeni nini makomeo alifika Magole wale jamaa walimzuia kufika Dumila maana angekutana na zomea zomea DUMILA HATUPENDI UJINGA TUNAHTAJ MABADILIKO

Acha Uongo Kijana. Soma mada ya Dumila.
 
Magufuli wetu asijali Lowassa akipata urais atakuwa msimamizi mkuu wa tenda zote za kukusanya taka katika miji yote Tanzania kwa kuwa hiyo kazi ndo ana imudu.
 
Bila ushabiki naweza kusema picha hizi zinadhihirisha kuwa Magufuli atakuja kuingia madarakani na mandate kubwa. And this is not necessarily a good thing but at this point it is a fact. Kwa sababu anatamba nchi nzima mostly unchallenged and strengthening the base huko vijijini. He is also getting enough support nationally while limited number of urban people wanajipa moja watachukua nchi na mgombea wa Ukawa ambaye hawezi kusafiri zaidi ya saa 1 na gari na kuongea kutokana na ugonjwa wake. Kwediboma na Kibirashi watamsikia Lowassa kwenye radio na huko hata diwani wakimchagua upinzani lakini urais atapewa Magufuli.
This election is almost over.

#HapaKaziTu
 
Acha Uongo Kijana. Soma mada ya Dumila.

Ha ha ha ha ha ha umepanic mkuu ila mim ni mkwel daima uongo haunisaidii kitu MAKUFUL HAKUFIKA DUMILA ALIISHIA FERI AMBAYO IPO MAGOLE labda mama samia ndio atafika huku mji mdogo wa dumilaa
 
Back
Top Bottom