gari hili hili si ndiyo limetufikisha hapa.ni gari bovu sana ambalo halihitaji tena dereva mahiri wa kuliendesha badala yake liende tu kwenye srepa.ili tuvuke tunahitaji gari new brand.mwinyi alionekana msafi tukaambiwa tumpe kura ya ndiyo akapewa,akaja akauza loliondo na madudu mengi ya mke wake kukamatwa airport akitorosha madini.akaja mkapa angalau hakuwa mbaya sana ila naye akawa fisadi kiaina na makashwa mengi yakaibuka ya kifisadi,akaja jk naye madudu yakazidi wote wakiwa kwenye mfumo wa chama cha ccm.jamani inatosha ccm ipumzishwe haiwezekani mpaka leo watoto shuleni wanakaa chini wagongwa nao wanalala chini.leo miaka 30 bado tuna tatizo la umeme.leo tembo wanaisha nk.magufuli hawezi kuja na jipya,