Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kidumu chama cha Mapinduzi !!zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa Ccm!!bado mnaota ??Mwl Nyerere is no more.Ccm Out
 
Mnakumbuka shuka wakati kumekucha!, ccm wajameni!
 
JAMANI VIGODA 3 KATI YA 33 MNACHECHEMEA MNOOOO SUBIRI MUONE VIJANA TUTAVYO FURIKA NAILE SALAM YETU YA LOWASSA MABADILIKO MTAKOMAJeeeee


jhahahahahaha unafikiri wengi wa watu ndo kupata kura??? hahahaah watanzania unawajua vzr?? wamejaa kwa juma nature na cd ikitoka hawanunui, na ukae utafakari, kwenye msafara wa mamba, kenge wapo, .......
 
Asilimia 70% ya waliopo hapo wamefuata burudani sio Sera za Magufuli. Maana hata yeye anasisitiza mabadiliko ambayo tayari wanayasikia kwa Ukawa
 
wakuu salam....

Katika mikutano yake ya kampen mgombea wa ccm John magufuli ameonekana akinyenyekea kwa huzun na huruma kuomba kura.
Mgombea huyu alipo kuwa tanga alionekana anaomba kura kwa huruma mpaka watu wakawa wanamshangaa.
Ilifikia wakat watu tuliokaa huku nyuma tukawa tunacheka.

Hii inaonesha ni jinsi gani maguful alivyoona mambo si mazuri tena, hasa mwitikio wa wananchi katika kampen zake.

CCM kwa sasa ishakata tamaa kutokana na mwitikio wa wananchi kwa lowassa. Mbaya zaidi kinachowaumiza ni kwamba hata zile ngome zao hawana imani tena nazo kutokana na watu wengi kuitika vizur kwenye mikutano ya lowassa.

Juzi walipo kuja tanga, ililazimika kufanyia soko la tangamano tena siku ya soko ili ionekane watu wa sokon wamekuja kwenye mkutano, magar ya Ratco yalikodishwa kubeba watu pangan na vijijin ilimrad tuu uwanja ujae, lakini pamoja na yote hayo hakuweza hata kufua dafu kwa mkutano alioufanya Babu Duni.
 
Magufuri ameonekana anaaza watu toka aanze mikutano yake ;

tulidhani , watu waliopata madhara morogoro , nec ingetoa tamko


bado tumeona ;
handeni
bumbuli
tanga
bunda,

naonya nec ipange watu wa kuhudhulia wasizidi 4,ooo
 
Wamefuata Burudani. Kampeni za CCM aka Magufuli zaidi ya FIESTA
 
Back
Top Bottom