Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mafuriko tena
Da nilijua Ni ya Lowasa tu kumbe hat magufuli
 
Mh. John Magufuli anamwaga Sera hapa Bunda na uwanja umejaa sana na waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba akiri kuwa hajawahi kuona mafuriko kama ya leo.
Mkuu ungetuma na picha maana hawa ndugu zetu ni mabingwa wa kubadili nyeusi kuwa nyekundu...
 
Magufuri ameonekana anaaza watu toka aanze mikutano yake ;

tulidhani , watu waliopata madhara morogoro , nec ingetoa tamko


bado tumeona ;
handeni
bumbuli
tanga
bunda,

naonya nec ipange watu wa kuhudhulia wasizidi 4,ooo

Wewe Pimbi bila shaka utakuwa msanii wa ubongo wa fleva. Acha ushabiki rudi shule kwanza.
 
Mh. John Magufuli anamwaga Sera hapa Bunda na uwanja umejaa sana na waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba akiri kuwa hajawahi kuona mafuriko kama ya leo.

Duuh bingwa Warioba yupo! Ha ha haa huyu c walimuweka ktk ile idadi ya kuhamia..... Mzee Warioba shikamoo.
 
Upepo ushabadilikia kwa magufuri..............................

Watu tumefisha vipeperushi vya lowasa; najuta kuhongwa kipeperushi.

Nimeiona nuru

mkataa wengi ni mchawi, hapakazi tu
 
Back
Top Bottom