Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

4u mvt ni maslahi tu. Wamemkausha mzee wa watu pesa zake. Sasahivi kampeni ameanza kufanya kwa kubipuu...
 
Kabla ya kututoa tulipo lazima atuambie nani ametifikisha hapa tulipo.

we mbona unakuwa mgumu kumsikiliza rais.magufuli?kwan anavowasema watendaj wala rushwa,wazembe,mafisad atawawajibisha bado hujapata jibu nan ametufikisha hapa?
 
Mh. John Magufuli anamwaga Sera hapa Bunda na uwanja umejaa sana na waziri Mkuu mstaafu Joseph Warioba akiri kuwa hajawahi kuona mafuriko kama ya leo.

Nimefurahi Sana Kusikia Kuwa Yupo Nyumbani Kwetu Mkoani Mara Kwa WANAMUME. Najua Akitoka Tu Hapo Lazima Aende Kwa Babu Butiama Kupata Baraka Za Mwisho Mwisho Na Kumalizia Kampeni Zake Vizuri Na Salama.
 
hali ni mbaya nipo bunda huku nakunywa dawa bila maji

mkuu haupo peke yako mimi npo monduli hapa maji hakuna kabisa,sijui hata dawa itamezeka.lakini ndo hvo mbunge wetu anagombea urais lakin huku jimbon kashindwa kuleta maji....
 
CCM kwishaaaa....

Zimebakia 45 days only... WEZI wakubwa...
 
Hao hao unaiwaita wezi wakubwa ndo watakaoendelea kuongoza huyo bwana wako fisadi lowasa hapati kitu.... maku weee
 
Gari refu lililobandikwa picha ya Magufuli limeshangiliwa sana lilipopita maeneo ya mianzini Arusha.

Haya ni maandalizi ya Jembe Magufuli kuitikisa Arusha
 
Nilienda Bunda jimbo la mwibara kwa kangi lugora kati ya tarehe 2-6 september, nilihisi niko nyumbani kwa magufuli, lowasa nilimusahau kabisa hadi nilipo rudi dar na kuungana na wanamabadiriko!!!!
 
Hao hao unaiwaita wezi wakubwa ndo watakaoendelea kuongoza huyo bwana wako fisadi lowasa hapati kitu.... maku weee

Mihemko inapotawala na kuchukua nafasi ya ubongo

Naionea huruma Tanzania yangu maana kwa akili za namna hii tunawakati mgumu sana kama nchi
 
Siku chache baada ya kampeni za CCM kuzinduliwa,mgombea wa urais kupitia chama icho aliaidi kuwa katika kampen zake atatumia njia ya bara bara katika safari zake ili kujionea kwa ukarib shida zinazowakumba watanzania, ila cha ajab jana alipo kua mara alienda na ndege na ivyo kuvunja ahad yake ya kwanza ambapo haijapita hata mwezi tokea aihaid....hali hii inanipa mashska kama je ataweza kutekeleza ahaad nyingine lukuki anazoziaid majukwaani,,,
 

Attachments

  • 1442045054084.jpg
    1442045054084.jpg
    32.5 KB · Views: 345
Back
Top Bottom