Toka lini ccm wakaahidi ukweli? Anasema atayafunga majizi na mafisadi, anayajuwa?Siku chache baada ya kampeni za CCM kuzinduliwa,mgombea wa urais kupitia chama icho aliaidi kuwa katika kampen zake atatumia njia ya bara bara katika safari zake ili kujionea kwa ukarib shida zinazowakumba watanzania, ila cha ajab jana alipo kua mara alienda na ndege na ivyo kuvunja ahad yake ya kwanza ambapo haijapita hata mwezi tokea aihaid....hali hii inanipa mashska kama je ataweza kutekeleza ahaad nyingine lukuki anazoziaid majukwaani,,,
Siku chache baada ya kampeni za CCM kuzinduliwa,mgombea wa urais kupitia chama icho aliaidi kuwa katika kampen zake atatumia njia ya bara bara katika safari zake ili kujionea kwa ukarib shida zinazowakumba watanzania, ila cha ajab jana alipo kua mara alienda na ndege na ivyo kuvunja ahad yake ya kwanza ambapo haijapita hata mwezi tokea aihaid....hali hii inanipa mashska kama je ataweza kutekeleza ahaad nyingine lukuki anazoziaid majukwaani,,,
Kulikua kuna haja ya ku post fikra finyu kama hii?
Toka lini ccm wakaahidi ukweli? Anasema atayafunga majizi na mafisadi, anayajuwa?
Halafu na wewe jifunze kuandika kiswahili au ndo shule za CCM?
Hao wananchi ni wapi hao?
Utakuwa unamaanisha wananchi wa Mtaa wa Lumumba labda
Tuliza kipago wewe dawa ikuingie!!
Ukawa majungu tuuuuu
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
hivi kwa ajil yako tu ya kilofa leo upo tanga kesho ratiba inatakiwa ukapige kampeni mara je jiografia ya toka tanga mpaka mara kunauwezokano wa kusafiri siku moja!!vitu vingine wala havina maana kuandika hapa kwa thinker!!Siku chache baada ya kampeni za CCM kuzinduliwa,mgombea wa urais kupitia chama icho aliaidi kuwa katika kampen zake atatumia njia ya bara bara katika safari zake ili kujionea kwa ukarib shida zinazowakumba watanzania, ila cha ajab jana alipo kua mara alienda na ndege na ivyo kuvunja ahad yake ya kwanza ambapo haijapita hata mwezi tokea aihaid....hali hii inanipa mashska kama je ataweza kutekeleza ahaad nyingine lukuki anazoziaid majukwaani,,,