Kwa style hii hadi kufikia siku ya uchaguzi atakuwa anajiita John Ngoyai Lowassa
Kwa style hii hadi kufikia siku ya uchaguzi atakuwa anajiita John Ngoyai Lowassa
kikwete anakazi kweli!! magufuli shida, lowassa shida, dah!!
Yaani ajaupata uenyekiti anaanza vitisho ,nilisema mwanzo kuwa huyu jamaa hata KATIBA ya nchi hatoifuata ,atasukuma nchi kivyakevyake ,sema ndio hashindi tu !
Haaaahaaaaa.......!!!
Now is MAGUFULI vs CCM vs WALA RUSHWA SERIKALINI...
Haaaaa...!!!
Njoo Ukawa tu Magufuli...!!! ACHA KUSUKUMA GARI UKIWA ndani UMELIPANDA....!!! hutaweza..!!
...nitasafiri kwa barabara nchi nzima kumbe anapanda ndege, bhahahhahhaaaaaa magufuliiiiiiiiiiiii chaliiiiiiii.....!!!!Hivi lowasa anasemaga nini kwenye majukwaa ukitoa pipooz na mahaba... nataka nijue tu maana huyu wa ccm tunamsikia na tuna mkosoa... lowasa vipi? Huwa anasemaje na utekelezaji unakuaje??