Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kanjanja ataelewa nini anadhani ngoma hizi..

Kama hivi?
ImageUploadedByJamiiForums1442666934.483456.jpg
 
Naamini kuwa mwanamke amepewa uwezo/ umakini ambao maranyingi wanaume hatuna, mwanamke simwepesi wa kuwekeza mahala ambapo hapalipi na mwanamke Mara nyingi ni mshauri makini. Mama Janet magufuli tayari kaishaliona hilo kuwa huu ni uwekezaji usiolipa japo jpm anajitutumua.
 
Hivi wale samaki wa magufuli,kesi iliishaje? Petrol station aliyoagiza ivunjwe kule Mwanza kupanua barabara inayoelekea uwanja wa ndege,shauri lake lilikuwaje. Huyu mgombea uwezo wake wa tafakuri Ni mdogo Sana. Hana cha maana zaidi ya kukariri tarakimu na mistari ya sheria. Mpenda masifa,kujionyesha binafsi,hana uwajibikaji wa pamoja.
 
Rais mtarajiwa hajui Sadam Husein alikuwa rais wa nchi gani! Kwa mtindo huu Philip Mlugo atakuwa waziri Mkuu.

Magufuli hajui kitu zaidi yakukariri madaraja na barabara. Mara akuambie sadamu alikua raisi wa libya alipoona kakosea anataka kurekebisha akajikuta ameharibu kabisa.
 
Nyie bavicha hii thread ni ya kupata taarifa za rais Magufuli nyie kama mnayo hamu ya kutoa mimatusi anzisheni thread yenu...ma.l.ofa nyie.
 
Naamini kuwa mwanamke amepewa uwezo/ umakini ambao maranyingi wanaume hatuna, mwanamke simwepesi wa kuwekeza mahala ambapo hapalipi na mwanamke Mara nyingi ni mshauri makini. Mama Janet magufuli tayari kaishaliona hilo kuwa huu ni uwekezaji usiolipa japo jpm anajitutumua
 
Nyie bavicha hii thread ni ya kupata taarifa za rais Magufuli nyie kama mnayo hamu ya kutoa mimatusi anzisheni thread yenu...ma.l.ofa nyie.

Hapa ndiyo pazuri kuwapa za USO maccm,sindano inaingia vizuuri.
Lowasaaaaa ,mabadilikoooo! Mabadilikooooo................
 
Kuna kila dalili ya kupata ushindi wa kishindo kwa Dr Magufuli,kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila kona, vijiji anapita na waelfu ya wanainchi wamekuwa wakimpongeza kwa uadilifu na uaminifu wake katika utendaji. Hata hivo wengine wamezidi kupaza sauti kwa kusema ni vema Dr Magufuli angeapishwa tu mapema pasipo kuendelea kuzunguka maana hata watoto wadogo wanatambua uadilifu wake na utendaji.Kila kunapokucha Magufuli amezidi kupata sifa tele,hongera sana Rais Magufuli.
​
 
[h=2]Maelfu ya wanainchi wahitaji magufuli Aapishwe tu!![/h]

Back
Top Bottom