Kuongoza mafisadi?Lowassa ndo raisi wetu awamu ya tano utake usitake!!
Elimu, elimu,elimu......... kisha mengine, kuongea saa nzimaHivi lowasa anasemaga nini kwenye majukwaa ukitoa pipooz na mahaba... nataka nijue tu maana huyu wa ccm tunamsikia na tuna mkosoa... lowasa vipi? Huwa anasemaje na utekelezaji unakuaje??
Nita unda serikal yenye mchaka mchaka wa maendeleo spid 120 asiye weza atupishe watu weweeeeeeeeeeeeeeeHivi lowasa anasemaga nini kwenye majukwaa ukitoa pipooz na mahaba... nataka nijue tu maana huyu wa ccm tunamsikia na tuna mkosoa... lowasa vipi? Huwa anasemaje na utekelezaji unakuaje??
Jamani! mambo mengine tuache ushabiki na tuseme ule ukweli. Huyo mzee ni mgonjwa anaumwa geita alishindwa kuhutubia mpaka lisu ndo kaingilia kati kuokoa jahazi. we mwangalie akiwa anaongea maneno hata hayaeleweki. kugeuka nyuma hawezi, kuangalia chini hawezi, kupanda jukwaa tabuu, anaweza kuwa rais kweli?