Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Kila kona ukipita unakutana na matangazo ya Magufuli, sasa iweje mgombea ambae CCM wanadai anauzika anafanya matangazo yote haya?

Kutembea na wasanii zaidi ya 200 wa muziki na maigizo na vichekesho, matangazo kila kona, TV coverage kila siku na kuhonga media imtangaze ni ishara kwamba Magufuli hajulikani na hauziki.

Lowassa ni one man army, anakinukisha popote pale anapokua, jina lake ni tangazo tosha. Mbaya zaidi CCM kila mkutano lazima wamtaje, lazima awepo kwenye list to do for a day ya CCM, kivuli chake kinawaandama CCM.

Lowassa ni mteule, mbeba maono wa Watanzania. Huyu alishateuliwa siku nyingi kuwa rais.

Jina la lowassa likitajwa wanyama wanashangilia maana wanajua hawatapandishwa ndege tena, ndege wa angani wanaimba nyimbo za kumsifu, kila kiumbe kinashangilia.

Mimi na ukoo wangu tumekubaliana maana uwezo, nia na nguvu tunazo za kumpigia kura Lowassa kwa maslahi ya vizazi vyetu vijavyo.
 
Simple answer, kizuri (lowasa) anajiuza kibaya (magufuli) chajitembeza full stop
 
Ccm nzima wanamchukulia magufuli kama kenge mkubwa anayecndikiza msafara wa mamba mfalme lowasa mteule wa Mungu
 
Kawaulize Tigo ya nini kutengeneza matangazo wakati bidhaa sokoni watu wenyewe tunaihitaji na vocha tunanunua hata wasipoweka matangazo?
 
Hata Wewe Huyo Mgombea Wako Lowassa UFISADI Wake Ndiyo UNAMTANGAZA Hivyo Na Kama Haitoshi Hata Huo UMASIKINI Ulionao au Hayo Maisha Magumu Uliyonayo 75% Yamesababishwa Nae Huyo Huyo Kwani Hadi Hivi Sasa Watanzania Tunalipishwa Ktk Kodi Zetu Ili Kuwalipa Deni DOWANS Kampuni Hewa Yenye Mahusiano Na Lowassa Kwa UZEMBE Na UFISADI Wake. Kwa Leo Yatafakari Kwanza Haya Ukimaliza Niambie Nikupe Na Mengineyo. Hakika Wajinga Ndiyo Waliwao!
 
ukiandika usicho kijua n sawa na mkono wa mpumbavu unaandika popote.
 
Hata Wewe Huyo Mgombea Wako Lowassa UFISADI Wake Ndiyo UNAMTANGAZA Hivyo Na Kama Haitoshi Hata Huo UMASIKINI Ulionao au Hayo Maisha Magumu Uliyonayo 75% Yamesababishwa Nae Huyo Huyo Kwani Hadi Hivi Sasa Watanzania Tunalipishwa Ktk Kodi Zetu Ili Kuwalipa Deni DOWANS Kampuni Hewa Yenye Mahusiano Na Lowassa Kwa UZEMBE Na UFISADI Wake. Kwa Leo Yatafakari Kwanza Haya Ukimaliza Niambie Nikupe Na Mengineyo. Hakika Wajinga Ndiyo Waliwao!

Umasikini wangu umesababishwa na ccm sio lowassa, ccm ndio imetawala kwa miaka 54 hii nchi na sio lowassa, lowassa hajawahi kua rais wa Tanzania.

Ccm ndio imesababisha mimi niwe masikini kwa kuweka sera mbovu za elimu,afya,ajira za kujuana na tenda za kupeana na sio lowassa. Kama lowassa alikua mwizi na ccm wakamuona na kumuacha lawama ni kwa ccm.

Ccm hawawezi kukwepa kivuli chao. Mtume apulo alifanya makosa chini ya utawala wa roma kwa wayahudi lakini alipomkubali yesu akabadilika,lawama sio kwa paulo ni kwa waroma.

Mataahira kama wewe ndio wanaweza wasilione hilo ila ukiwa na hata akili kama ya panya utaliona tu hilo.
 
Kawaulize Tigo ya nini kutengeneza matangazo wakati bidhaa sokoni watu wenyewe tunaihitaji na vocha tunanunua hata wasipoweka matangazo?

Matangazo ya tigo sio kama ya vietell au smart, haya ni matangazo ya promotion na sio ya kujulikana na kujiestablishi, tigo inajulikana inachofanya ni kuwaboreshea wateja wake huduma, ni sawa na voda na celtel, sasa hapo huwezi kusema matangazo ya smart au vietellni sawa na ya voda, vietell lazima ijitangaze sana maana haijulikani na inachukua muda kujulikana wakati voda wanajulikana.

Lowassa ni voda,magufuri ni smart lazima ajiuze sana na matangazo mengi maana hajulikani, mbaya zaidi kuna time limit ambayo inamgharimu.

Magufuri urais atausikia redioni.
 
Magufuli mbele kwa mbele.

Chagua Magufuli Oct 25.

Kazi aliyofanya inaonekana.
 
Hii sasa vihoja lol...!!!

Magufuli hali kaona mgumu sana kwa macho, hadi sasa anaanza KUONGEA LUGHA NA SLOGAN YA UKAWA...!!! Ebu tujikumbushe..!!!

1: Magufuli akiwa Mbeya: Alisema, peoples...poweeeeeerr....✌✌✌✌ na akasema nipeni hiyo power mimi niwe Rais niwafanyie kazi... watu wakanuna...😏😨😨

2: Akiwa Bumbuli: J.Makamba akimuombea Magufuli kura wakati Magufuli akiwa Bumbuli alisema: Mabadiliko....Magufuli, Magufuli Mabadiliko... eeehh... huku akionyesha sign ya mabadiliko... akasema Magufuli ndio anaweza leta Mabadiliko... watu wakanuna sanaaa...😨😨😨😨😨😥😠😠😠😠😠😠

3: MAGUFULI: Kila mkutano wake, ataanza Najua MNATAKA MABADILIKO.... NIPENI KURA ZENU MM NITALETA MABADILIKO.... eeehh... sasa Magufuli anaimba Slogan ya UKAWA kila MKUTANO... lol...!! Totally CONFUSED, sijui hajui yuko CCM.. na CCM ni ILE ILEEEEEEEEEEEE hata wimbo wao mkuu ni huo...!!! sasa mabadiliko yatoke wapiiiiii...? 54 yrs mmeshindwa, leo mlete MABADILIKO... acha utani wee...!!! Magufuli HATA KUTAJA JINA LA CCM anaogopa maskini... ANASEMA CHAGUA MAGUFULI... eeehh..!!! hadi huruma..!!!

4: Sasa hii ndio kali kabisaa...HE IS CONFUSED and in ABNOMAL STATE INDEED....

Etiiii M4 C = MAGUFULI 4 CHANGE..

😨😨😨😨😨😥😥😥😠😠😠😠😠

Yaani sasa, MAGUFULI jiunge tu UKAWA... umebebeshwa MZIGO SIO WAKO.... njoo UKAWA, naona sasa HAUKO CCM tena, UR TOTALLY LOST...!!!.

Magufuli jiunge UKAWA, achana kubeba mzigo mzito USIO WAKO WA CCM...

I hope uta jiunga na UKAWA very soon...!!

aaaarrrgghh...!!! 😨😨😨😠😠😠

Magufuli, YOU LOST YOUR.... 👇👇👇

COMPOSURE,
DIRECTION,
EQUILIBRIUM,
FAITH...
COMMAND.. etc etc...!!!

You showed ur side of WEAKNESS, and that is a SIGN of being DEFEATED, or mambo yanakuendea kombo...!!!!

MAGUFULI, karibu UKAWA...!!!
 
Katika miaka 20 ya utumishi wa Mhe Magufuli kama waziri ndani ya baraza la mawaziri liliobariki na kufumbia kashfa lukuki toka enzi za utawalla wa Mkapa hadi JK, ikiwemo
EPA,
RICHMOND,
MEREMETA,
MWANACHI GOLD COMPANY LTD,
UUZAJI VIWANJA NA MAJENGO YA SERIKALI KWA BEI CHEE,
UUZAJI BENKI YA NBC KWA KWA BEI CHEE,
UBINAFSISHJI WA MASHIRIKA NA MIGODI YETU KWA BEI YA KUTUPA,
UNNUZI WA RADA MBOVU,
RASI KUKWAPUA MGODI WA KIWIRA
RICHMOND KUGEUZWA DOWANS NA HATIMAYE SYMBION,
USAFIRISHAJI WA TWIGA NA WANYAMA WENGINE,
UUZWAJI WA GESI YETU KWA BEI CHEE,
ESCROW N.K

hivyo hawezi kuwa msafi hata kidogo anazidiwa na Mhe Lyatoinga Mrema ambaye alisamehe kila kitu na akaachana na baraza la mawaziri linalopitisha ufisadi wa raslimali za umma.
 
Back
Top Bottom