Najaribu kuwaza tu kijinga,hivi ikitokea Mungu akampenda zaidi mr.Hapa kazi tu mwezi wa November baada ya kuapisha kuwa Rais wa JMT(Siombei yatokee ila sisi ni binadamu anything can happen) hapa kazi tu,uchapakazi na uadilifu utaendelea au tutarudi square one?Kuna kila dalili ya kupata ushindi wa kishindo kwa Dr Magufuli,kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila kona, vijiji anapita na waelfu ya wanainchi wamekuwa wakimpongeza kwa uadilifu na uaminifu wake katika utendaji. Hata hivo wengine wamezidi kupaza sauti kwa kusema ni vema Dr Magufuli angeapishwa tu mapema pasipo kuendelea kuzunguka maana hata watoto wadogo wanatambua uadilifu wake na utendaji.Kila kunapokucha Magufuli amezidi kupata sifa tele,hongera sana Rais Magufuli.
Maelfu ya wanainchi wahitaji magufuli Aapishwe tu!!
Kuna kila dalili ya kupata ushindi wa kishindo kwa Dr Magufuli,kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila kona, vijiji anapita na waelfu ya wanainchi wamekuwa wakimpongeza kwa uadilifu na uaminifu wake katika utendaji. Hata hivo wengine wamezidi kupaza sauti kwa kusema ni vema Dr Magufuli angeapishwa tu mapema pasipo kuendelea kuzunguka maana hata watoto wadogo wanatambua uadilifu wake na utendaji.Kila kunapokucha Magufuli amezidi kupata sifa tele,hongera sana Rais Magufuli.
Najiuliza mtu anaendika namna hii sijui anafikiria vipi.? Sidhani kama timu ya kampeni ya ccm na magufuli wanafurahia watu kama nyinyiMgonjwa wa Ukawa jana kachafua hewa watu wakakimbia mkutano make hari ilikuwa inaashiria kuwepo kwa kipindupindu
Acheni kujidanganya watanzania wa fiesta ya siku hizi , tar 25 Oct ,mtaona chadema watakavyo peperusha bendera yao
Najaribu kuwaza tu kijinga,hivi ikitokea Mungu akampenda zaidi mr.Hapa kazi tu mwezi wa November baada ya kuapisha kuwa Rais wa JMT(Siombei yatokee ila sisi ni binadamu anything can happen) hapa kazi tu,uchapakazi na uadilifu utaendelea au tutarudi square one?
Mgonjwa wa Ukawa jana kachafua hewa watu wakakimbia mkutano make hari ilikuwa inaashiria kuwepo kwa kipindupindu
Raisi wako ni lowassa. Kwanini huelewi kijana