Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Ccm Imekuwa kama wao ndio chama cha upinzani vile,kila wanalofanya lazima wajilinganishe na UKAWA....dah.....kweli hali sio nzuri, sasa hako kaumati ndio anachanja mbuga?

Mpinzani ni Act pekee
 
Imekuwa stand ya chato

Heshima kwako mh. rais wa tano wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John. Jana nilifuatilia kwa makini hotubayako chato. nimekuelewa ninavyoona ikulu ni yako Mungu azidi kukujalia afya njema na hekima ya kuwaongoza watanzania wote bila kubagua dini kabila wala rangi zao.
 
KAMPENI ZA CCM :
Mwijage:-Baada ya miaka 50 ya
uhuru wa mtanzania,tunakiri
kwamba kuna madhaifu ndani ya
ccm,lkn siafu wakiingia
ndani,tunachukua majivu ya baridi
tunanyunyiza juu ya siafu
wanatoka na nyumba inabaki
salama.....na ktk ilani ya chama
kifungu cha 40 ,tutahakikisha kila
kijiji kinapata umeme wa jua
kupitia grid ya Taifa....
THIS IS COMPLETELY
SHAME....SHAME ON YOU
CCM...LOWASSA IKULU NJIA
NYEUPEEEEEEEEE!!!!!
 
HIVI KWA NINI MAGUFULI ASIAPISHWE TU:

"Tanzania ya magufuli,itakuwa ni ya viwaaaandaaa"(In Magufuli voice).Huyu jamaa ni noma,kwanini asiapishwe tu,kuna sababu kweli ya kusubiri na kupiga kura hiyo tar 25??kwa hali hii naona mpinzani wake ameshadodaa.Ebu cheki bukoba leo hii:-
 
Kaapishwa Lumumba.

Lakini wakuda tunatia figisu kwenye kisanduku mpaka atazimia.
 
Ni robo ya kwa lowassa, na hapo kila mgobea ubunge kalazimishwa agharamie watu 200 kuja kwenye mkutano, diwani watu 50.Ni wabunge wa wote wa mkoa kagera wameagizwa hivyo ila wengine wamegoma kuja eti wanashinda njaa.
 
HIVI KWA NINI MAGUFULI ASIAPISHWE TU:

"Tanzania ya magufuli,itakuwa ni ya viwaaaandaaa"(In Magufuli voice).Huyu jamaa ni noma,kwanini asiapishwe tu,kuna sababu kweli ya kusubiri na kupiga kura hiyo tar 25??kwa hali hii naona mpinzani wake ameshadodaa.Ebu cheki bukoba leo hii:-

Magufuli anakila sifa ya kuapishwa kuwa rais wetu.
 
HIVI KWA NINI MAGUFULI ASIAPISHWE TU:

"Tanzania ya magufuli,itakuwa ni ya viwaaaandaaa"(In Magufuli voice).Huyu jamaa ni noma,kwanini asiapishwe tu,kuna sababu kweli ya kusubiri na kupiga kura hiyo tar 25??kwa hali hii naona mpinzani wake ameshadodaa.Ebu cheki bukoba leo hii:-

Tunakukaribisha Ktk Sherehe Ya Kuapishwa Kwake Tarehe 2, November 2015 Pale Shamba La Bibi Uwanja Wa UHURU.
 
Back
Top Bottom