General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,317
- 23,192
kazi yako si kuandika umbea wa lumumbaa
tutaisoma nini ...................................
UTAKUFA; ACHA TU
KANDA YA ziwa ndo kiwanja cha kujidai ; haina aja ya picha
Kwenye ufisadi sawa kabisa.Lowassa atosha.
Huu uzi wa uongo, kwanini hauna picha hata moja?
Huku maeneo ya Nzega tumeanza kupokea order za kwenda kubeba watu vijijini kwa mafuso kabla Dr J PLUS MAKOMEA hajafika.Man made mafuriko..
Acha unafiki.
Sina uwezo wa kupost picha humu but nitakukumbusha siku tutakayokuwa tukiwaendea maeneo ya Bukene,Mambali,Nkiniziwa,Nata,Nzega ndogo,Mbutu,Nkinga,Itobo,Puge,Nsimbo na maeneo mengineyo.Bado nipo maeneo ya mkoa wa Tabora tangu na kabla ya ujio wa Lowassa nasubiri mafuriko ya magufuli nifanye tathmini.
mkuu upo wapi? mwenyewe nimepewa order ya kuchukua watu mbutu