wirewizard1
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 160
- 26
Tusubiri 25/october
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dr Magufuli amezidi kung`ara kila kona ya Tanzania anakopita, watoto mashuleni sasa ni Magufuli, wakulima nao ni Magufuli, akina mama majumbani wao ndo usiseme, wazee wanasema ,mabadiliko ya kweli ni Magufuli, Vijana nao ni Magufuli kutokana na sera yake ya kuboresha miundo mbinu.Katika hili Magufuli umevuja rekodi.
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dr Magufuli amezidi kung`ara kila kona ya Tanzania anakopita, watoto mashuleni sasa ni Magufuli, wakulima nao ni Magufuli, akina mama majumbani wao ndo usiseme, wazee wanasema ,mabadiliko ya kweli ni Magufuli, Vijana nao ni Magufuli kutokana na sera yake ya kuboresha miundo mbinu.Katika hili Magufuli umevuja rekodi.
Magufuli wewe ndie rais wetu
rais wa kwenye kitu gani!
wana jf ndio wapiga kura na kama hapendwi ni dalili mbaya kwakeMagufuli ndo raisi, siku zote rais lazma awe ambae hapendwi huku jf ili waendelee muongelea kwa mabaya
Magufuli ndo raisi, siku zote rais lazma awe ambae hapendwi huku jf ili waendelee muongelea kwa mabaya
Haiwezekani na hata ikiwezekana malighafi na wafanyakazi vitatoka wapi?viwanda vichache tulivyonavyo vinaimport wataalam na malighafi kwa kuwa watu wetu hawana elimu kwa maana ya ujuzi na maarifa ya ama kufanyakazi kwenye viwanda hivyo au kuzalisha malighafi kwa ajiri ya kuvilisha viwanda hivyo.Ndugu Tanzania wenzangu kampeni zimepamba moto kwa sasa na kama kawaida ya wagombea wowote dunia na sisi watanzania tunazidi kupewa ahadi lukuki.Moja wapo ya ahadi ya mgombea wa CCM ni kurudisha viwanda vilivyo binafsishwa Enzi ya Mwinyi.
Je hili linawezekana? Kuna viwanda vingine vilijengwa wakati wa mwalimu kisiasa zaidi bila kuangalia mambo ya kiuchumi mathalani kiwanda cha ngozi Morogoro kilijengwa huko wakati ufugaji wa ng'ombe upo mikoa ya Arusha, Mara,Mwanza, Shinyanga na Tabora. Sasa mfanyabiashara akinunua akiweka economic factors zake lazima atafute mbinu nyingine.
Viwanda vingi vili binafsishwa kwa wafanyabiashara ambao wako well connected na system ya CCM, mathalani Mwanza na Morogoro Tanneries viliunzwa kwa ROSTAM AZIZ. Kile kiwanda cha Mwanza kimefanywa kuwa yadi ya Caspian na majengo mengine wamekodishwa kwa DAR TECH tawi la Mwanza, Je Magufuli anao uwezo wa kupambana na wale wanao taka kumwingiza madarakani?
Je hili zoezi linawezekana kwa hali tulionayo sasa na sharia na mikataba ya kuuza haya mashirika zina sema je?
Karibuni tujadiliane tukiwa sober