Kwa mtazamo wangu nchi yetu inatakiwa kuwekeza kwenye vitu viwili tu yaani Kilimo na Elimu,Lowasa anatakiwa kusisitiza haya plus Mfumo( Katiba mpya)Haiwezekani hili analiweza Lowassa pekee ndani ya ukawa. maana huwezi sukuma gari ukiwa ndani lazima utoke nje. kwakuwa wtz wamezoea kulaghaiwa kwa maneno ameweza ila utekelezaji ni zero. Tatizo ahadi zimejaa hisia Kali.
Unataka watu wajitese Ndio waonyeshe ukekereketwa, Magufuli has a heart voters siyo show off votersUko wapi? Watu wanasobwa ili wajae kweye mikutano! Njoo Tanga uone mabasi ya rahaleo, Ratco etc ndio kazi sasa hivi wakija wagombea wa CCM ujue basi
Uko wapi? Watu wanasobwa ili wajae kweye mikutano! Njoo Tanga uone mabasi ya rahaleo, Ratco etc ndio kazi sasa hivi wakija wagombea wa CCM ujue basi
Hovyo sana, vipi Libya Gadafi,Syria, Lebanon, buknafaso, somalia, sasa Kenya, Rwanda, drc , wote huko ni vipara? Hoja dhaifuKwa hisani ya MombasaFalcon,
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais
mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima
nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama
ukame,vurugu,majanga ya mafuriko
makubwa na umwajikaji damu kwa
wingi,... basi martine luther alipomaliza
kutoa kauli hii watu wenye vipara
walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.
Sasa turudi kwenye mifano ya nchi
zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais
wenye vipara 1.omar al bashir wa sudan
nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi
2.yoweri museveni nadhani mnaweza
kujiridhisha hali ilivyo kwa uganda waasi
hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi
3.mwai kibaki nadhani mtukumbuka jinsi
kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji
damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi
cha hata mifugo kukosa chakula 4.jacob
zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua
kilichowapata ndugu zetu kule,pia
imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu
baada ya afghanstan 5.bejamin mkapa
nadhani watanzania wengi haeatasahau
mvua za el ninyo na mauaji ya zanzibar pia
mauaji ya mwembe chai ni kipindi
ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli
huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za
magonjwa zilijuwa juu kabisa,ajalu ya
treni,meli ya mv bukoba, nakadhalika
Watanzania ikifika october 25 nyie ndio
wakuamua mnataka kulipeleka taifa
kwenye taabu au raha
Mkuu huyo magufuli ni mr.Zero,hiyo production ya Kagera ni kiasi gani hadi wajengewe kiwanda?Nilimshangaa magufuli kwa haya:
1.alimpinga lowasa kagera eti aliposema wakulima wa kahawa watawezeshwa mpaka kuuza kahawa zao nje ya nchi..
2.magufuli akajibu eti ni kosa na viwanda vijengwe hapahapa nchini watu watoe nje walete ndani..
Swali:
✌uchumi wa nchi hukuwa au hushuka kwa kuingiza fedha za kigeni au hushuka?
✌kama kuufha bidhaa nje ni kosa tungewezaje pata bidhaa toka nchi nyingine?
Na wanafaidika vipi kutuuzia bidhaa zao?
Hovyo, unataka wajitese? Tembeeni kwa mguu jazaneni, jiharishieni, kaombeni kura kanisani, CCM ndio inawaacha hiyoUko wapi? Watu wanasobwa ili wajae kweye mikutano! Njoo Tanga uone mabasi ya rahaleo, Ratco etc ndio kazi sasa hivi wakija wagombea wa CCM ujue basi
Uko wapi? Watu wanasobwa ili wajae kweye mikutano! Njoo Tanga uone mabasi ya rahaleo, Ratco etc ndio kazi sasa hivi wakija wagombea wa CCM ujue basi
Mkuu huyo magufuli ni mr.Zero,hiyo production ya Kagera ni kiasi gani hadi wajengewe kiwanda?
Burundi is the largest producer of Arabica coffee in Africa still are exporting,hakuna viwanda kwao-Chemical reactions zimeshaathiri ubongo wa magufuli.he can't think any more
Kwa hisani ya MombasaFalcon,
Nchi yoyote inatakayoongozwa na rais
mwenye kipara/baldin/uwaraza lazima
nchi hiyo ipatwe na mabalaa kama
ukame,vurugu,majanga ya mafuriko
makubwa na umwajikaji damu kwa
wingi,... basi martine luther alipomaliza
kutoa kauli hii watu wenye vipara
walimpiga jiwe huko chicago mwaka 1967.
Sasa turudi kwenye mifano ya nchi
zilizotawaliwa/zinazotawaliwa na marais
wenye vipara 1.omar al bashir wa sudan
nadhani nyinyi wenyewe ni mashahidi
2.yoweri museveni nadhani mnaweza
kujiridhisha hali ilivyo kwa uganda waasi
hawaishi na mauaji ya wanasiasa hayaishi
3.mwai kibaki nadhani mtukumbuka jinsi
kenya ilivyopitia wakati wa umwagaji
damu mkubwa na njaa kali kabisa kiasi
cha hata mifugo kukosa chakula 4.jacob
zuma nadhani nyinyi wenyewe mnajua
kilichowapata ndugu zetu kule,pia
imekuwa nchi ya pili duniani kwa uhalifu
baada ya afghanstan 5.bejamin mkapa
nadhani watanzania wengi haeatasahau
mvua za el ninyo na mauaji ya zanzibar pia
mauaji ya mwembe chai ni kipindi
ambacho nchi ilimwaga damu kwelikweli
huku njaa ikiongezeka na hata takwimu za
magonjwa zilijuwa juu kabisa,ajalu ya
treni,meli ya mv bukoba, nakadhalika
Watanzania ikifika october 25 nyie ndio
wakuamua mnataka kulipeleka taifa
kwenye taabu au raha