Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Hovyo sana, vipi Libya Gadafi,Syria, Lebanon, buknafaso, somalia, sasa Kenya, Rwanda, drc , wote huko ni vipara? Hoja dhaifu

Mkuu vipi na wewe una kipara nini?
 








Haya Mafuriko ndio yanayo wanyima UKAWA usingizi. Sasa Magufuli alicho bakisha kuapishwa tu.

USHINDI WA OKTOBA NI WA KIMBUNGA
 
Ngoja nyumbu waje utasikia wamesombwa na malori.
Hawa jamaa hawataki kuukubali ukweli
 
angalieni vizuri hizo picha za hao watu wengi wao wamekata tamaa. Wamekuja kujifariji na Fiesta.

Nauhakika wengi CCM hamtaamini trh 25. For me sure Lowasa atawacost sana na is the man to become Tanzania presdent. Kosa mlilifanya wenyewe na mnajua.
 
Ngoja nyumbu waje utasikia wamesombwa na malori.
Hawa jamaa hawataki kuukubali ukweli

Do maana na sema CCM mnadharau sana mnaita wenzenu nyumbu!! Kwani niuongo? Ni rahisi tu mwambie Magufuri aende mkoa bila wasanii uone kama atajaza.

Na naona mmegundua utaratibu mpya mkizomewa mnasema dj lete mziki! CCM mbele kwa mbele, mmeipenda wenyewe
 
angalieni vizuri hizo picha za hao watu wengi wao wamekata tamaa. Wamekuja kujifariji na Fiesta.

Nauhakika wengi CCM hamtaamini trh 25. For me sure Lowasa atawacost sana na is the man to become Tanzania presdent. Kosa mlilifanya wenyewe na mnajua.
Usipaniki kijana.
 
Hivi CCM imetumia kiasi gani kuwavisha watu wote hao!!
 
kweli tuonyeshe malori yalikopaki hoja yako iwe na nguvu
Ulitaka watu woote hao wapae kama Malaika.




Hii nihatarisha Usalama wa Wananchi walio bebwa kwenye lori




Wana UKAWA wakisafirishwa kutoka Mikoani kwenda Dar



 
Wengi hawajawahi kumwona Diamond akiperform live!!

Huo ni upeo mdogo wa kufikiria CCM inajua tayari inawazee na wanawake walio ndani ya ndoa kundi linalowapa tabu ni VIJANA ndio maana kina diamond na wasanii wanapotumika ukiangalia team zote nimest'uka,mama ongea na mwanao,Bajaj zote zimetarget vijana wa kiume na kike ndio ambao wanataka mabadiliko wasanii wanafaida kubwa kwa CCM but ni hasara kwa UKAWA....ikiwa wamefata Diamond or fiesta hajalishi CCM wao lengo limetimia kupata mkusanyiko mkubwa wa vijana wengine watawapata wengine watawakosa but for them ni win win situation.
 








Haya Mafuriko ndio yanayo wanyima UKAWA usingizi. Sasa Magufuli alicho bakisha kuapishwa tu.

USHINDI WA OKTOBA NI WA KIMBUNGA

Wamekuja kumuangalia diamond ndio maana diamond alipo shuka stajin kwenda kwenye gari watu wakaacha kusikiliza magufuli wakaenda kumashangaa diamond, hiyo ni fiesta ndio inajaza hvyo. Waambie waende bila wasanii kama ukawa uone kama hawajaambulia watu 30
 
Jamani mm sisemi uongo, nimeshuhudia kwa macho yangu dereva wa lori akiuliza " niwarudie wengine? Ili wahudhurie kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…