Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Si mchezo; tiss wamkubali . Kuibukiwa wezi hivyo hivyo
 
Watu tumeshafanya maamuzi haya mengine awaachie akina Joti. Akumbuke bado kuna maisha baada ya uchaguzi, UKAWA haitapeleka watu India kirahisirahisi badala ya kusomesha madakitari.
 
Magufuri bana, teh,teh,teh, yaani anatumia nguvu nyingi sana, wakati mwenzake Lowassa ana tumia akili nyingi sana
 
Yuko vzr kiafya aisee! Natumai hata wakati Wa kukagua gwaride baada ya kuapishwa atamudu sio hasimu wake mpaka abebwe na wheelchair.
 
 
Last edited by a moderator:
Dr John Pombe Joseph Magufuli amezidi kukubalika kwa wananchi kila pande, mtaa, vijiji, majimbo na mikoa anayopita. Wananchi katika maeneo husika wamezidi kumpongeza Magufuli kutokana na utendaji wake uliotukuka, ubora wake katika kufatilia na kusimamia shughuli za serikali. Aidha amekuwa karibu na wananchi katika shughuli mbalimbali za kijamii, ujio wa Magufuli utakuwa ni mwanzo wa Mabadiliko makubwa ya kiuchumi Tanzania.
 
Sidhani usitusemee maana wengine tunashangaa anavyoshangaa kama Waziri wa Ujenzi Barabara hazijafika Tanzania nzima."NASHANGAA KUONA MJI WA KAHAMA HAUNA BARABARA YA LAMI HATA MOJA"Jamani waziri wa Ujenzi na Miundo mbinu anashangaa mh!!!!!!!!!!!Ngoja na mie nimshangae.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…