uko mgeni kahama,mi nafika mara kwa mara nikielekea burundi kwa mpango kando wangu..
kahama lami ipo japo si mitaa yote.
alikua anasema anashangaa lami haipo mitaa yote...
sio kwamba kahama haina lami
Sidhani usitusemee maana wengine tunashangaa anavyoshangaa kama Waziri wa Ujenzi Barabara hazijafika Tanzania nzima."NASHANGAA KUONA MJI WA KAHAMA HAUNA BARABARA YA LAMI HATA MOJA"Jamani waziri wa Ujenzi na Miundo mbinu anashangaa mh!!!!!!!!!!!Ngoja na mie nimshangae.................
Hahahaha huyo Mzee wa Kuwait anarukwa na akili muda si mrefu.
Magufuli amezomewa sana Mbeya
Watu wanababaika na Nyomi ya Lowasa, wanadhani yeye peke yake ndiye anayepata Nyomi, lakini Wasichokielewa ni kwamba NYOMI HAIMAANISHI KURA MOJA KWA MOJA
Nyomi maana yake watu wamekuja kukusikiliza halafu maamuzi ni wao!
[h=3][/h]
Magufuli sasa mbele kwa mbele, apewa baraka zote na Judge Warioba na Malecela. Hakika Magufuli ndie Rais wa Tano.