Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,096
....kwa bahati mbaya hana baraka za wananchi ambao ndo waamuzi. Sisi tumempa baraka zoote Mr. President Edward Lowassa, pombe mwisho kwenye kopo la kilabuni....
....kwa bahati mbaya hana baraka za wananchi ambao ndo waamuzi. Sisi tumempa baraka zoote Mr. President Edward Lowassa, pombe mwisho kwenye kopo la kilabuni....
[h=3][/h]
Magufuli sasa mbele kwa mbele, apewa baraka zote na Judge Warioba na Malecela. Hakika Magufuli ndie Rais wa Tano.
Mafisadi mwaka huu mnakazi sana mahakama yenu inakuja sijui mtaponea wapi.Aaah kumbe ni huyu gazeti la uhuru aka tbc