Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Tupendekeze kuwa MTU atakayeleta nukuu za gazeti la Uhuru apigwe ban kwani anaamua kuleta habari akiwa anajua wazi kuwa ni za uongo
 
 
Last edited by a moderator:
mzee anapita boda kwa boda kule ambako kuna 80% ya kura za CCM... vuna jembee
 
Tunaompenda magufuli(si mwana ccm) tuna kazi zetu,,mikutano Mingi ya hadhara hatutadhuhuria,,utitiri wa watu usikutishe,.mbna naona vitoto vidogo Katikati hapo kwenye soko la tandale,ambao hata kupiga kura hawawezi,tumeanza dar tutarudi dar;hapa kazi tu
 
Magufuli ni kiongozi mzuri lakin sio hawezi akawa raisi mzuri. Hiyo nafac kapewa na baba Riz-zero
 
mkuu chachu ombara uzidi kutu updates video za pombe raisi ajaye #hapa kazi tu#
 
Mama Samia nasikia ni bachelor-nchi yangu inaenda wapi?sasa huyu kweli akili yake imetulia-kweli CCM ina wakati mgumu-maana huyu anakuja bila family values
 
Kuanzia katavi ni mkakati wa kumfuata mzee wa wapigwe tu baada ya kutoonekana kwenye ufunguzi jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…