Abel Ndundulu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 847
- 389
[h=3][/h][COLOR=#
[FONT=Verdana]Kila siku zinavyo zidi kuyoyoma, UKAWA wanapumulia mashinda na kutengeneza mafuriko ya "IT", ilimradi tu, wajipe moyo kama yale mafuriko ya Guinea Conakry. Haya mafuriko ambayo yanamfuata Magufuli kila aendapo, yanawapa mpasuko wa moyo UKAWA na Lowassa. [/COLOR]
Wewe uko mwanza gani? Mwanza niliyopo mimi hakuna jina Magufuli, ni Lowassa Lowassa kila sehemu labda huko vijijini lakini mjini ni Lowassa tuu
Lowassa kwisha kwisha KWISHA KABISAUshuzi huooo hakuna lolote tukutane 25
Yupo chali maana hana seraNyoooooo
hamna kitu hapo mmeshikwa pabaya sana mwaka huu
lowasa huyu huyu mliyemkataa mnataman sana angekuwa wenu sa hizi
hoja zimekuisha zikirudi njo tena
hutumii akili,hata wanaokulipa wajinga,mkutano wa ccm taito lowasaLowassa kwisha kwisha KWISHA KABISA
hutumii akili,hata wanaokulipa wajinga,mkutano wa ccm taito lowasa
ccm ina hali mbaya kusema kweli.