Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
​
Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo
​
Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo ​
​
Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro
​
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu​
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Picha zote na Bashir Nkoromo, Same.

Mgombea mwenza wa ccm kaahaidi kila kijiji kuwapa wanawake milioni 50 na Tanzania kuna jumla ya vijiji 19,200 ina maana zinahitajika billioni 960 je hizi pesa zitatoka kwenye budget ipi na mfuko upi, pesa hizi zitatolewa kipindi cha kampeni au baada!
ccm.jpg
 
[h=2][/h]
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
​
Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo
​
Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo ​
​
Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro
​
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu​
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Picha zote na Bashir Nkoromo, Same.

Duu naona unajua maana ya kuuteka mkoa
 
Bukanga mtoa mada hebu nyoosha maneno wacha kuwageuza wasomao mitandao mamburula. Ameutekaje mkoa wakati amepita hedaru na moshi mjini tu. ? tuonyeshe mkutano wake wa kampeni ulioshiba watu ndio tutakuamini. sasa unatuonyesha kikao cha wanafamilia?
 
Back
Top Bottom