Kansigo
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 2,670
- 2,156
hahaahaa naona watu ni wa kuokoteza hapo hakuna watu kabisa au malori huko hamna.
we lofa kumbuka hapo ni kijijini
hahaahaa naona watu ni wa kuokoteza hapo hakuna watu kabisa au malori huko hamna.
Hii sasa CCM ANI SIFA. Yaani wanashambulia mpaka wanawanyima UKAWA nafasi yamkupumua?
Kwa style hii Inaonekana ccm bado ina nguvu sana
Ndugu,lowassa rais kudadadeki zao
Hii sasa CCM ANI SIFA. Yaani wanashambulia mpaka wanawanyima UKAWA nafasi yamkupumua?
Mgombea mwenza wa ccm kaahaidi kila kijiji kuwapa wanawake milioni 50 na Tanzania kuna jumla ya vijiji 19,200 ina maana zinahitajika billioni 960 je hizi pesa zitatoka kwenye budget ipi na mfuko upi, pesa hizi zitatolewa kipindi cha kampeni au baada!
View attachment 279992
Hivi Kilimanjaro bado CCM ina ofisi huko???
Nguvu za kiume au??
hahaahaa naona watu ni wa kuokoteza hapo hakuna watu kabisa au malori huko hamna.
Hii sasa CCM ANI SIFA. Yaani wanashambulia mpaka wanawanyima UKAWA nafasi yamkupumua?
Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi picha.



















Kaenda Uchagani kufanya nini,uchagani si kwa CDM