MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Hakuna mwenye sababu ya msingi ya kutomchagua Magufuli dhidi ya Lowassa
Hii sasa CCM ANI SIFA. Yaani wanashambulia mpaka wanawanyima UKAWA nafasi yamkupumua?
Ndugu,Kwa style hii Inaonekana ccm bado ina nguvu sana
mkuu wewe ongea yote ila kibarua chako cha kupiga picha lumumba na magogoni kinaisha 26 oct jiandae kisaikolojiaNdugu,
Nasikia eti kwa sasa Lowassa anaangalia kwa vitendo shida za wananchi.
Wakati akitangaza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, alisema anazifahamu shida zote za wananchi. Leo yuko kwenye daladala na kwa Mama Lishe anadai, anajionea shida za wananchi.
Huu ni usanii kwa kiwango cha kitoto!
Wahenga walisema, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!
Hata miezi sita haijapita, ameishasahau uwongo wake.
CCM kwa sasa ni imara zaidi kwa sababu wachawi wametoka-Jakaya Kikwete
Magufuli ni mchapa kazi, mzalendo, hana makundi na mwadilifu-Joseph Warioba
sasa mbona vijijini ndio huwa kuna mafuso mengi yanayoleta mazao mijini ina maana mmekosa kabisa wakuu hata vijiji vya jirani???we lofa kumbuka hapo ni kijijini
Ndugu,
Nasikia eti kwa sasa Lowassa anaangalia kwa vitendo shida za wananchi.
Wakati akitangaza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, alisema anazifahamu shida zote za wananchi. Leo yuko kwenye daladala na kwa Mama Lishe anadai, anajionea shida za wananchi.
Huu ni usanii kwa kiwango cha kitoto!
Wahenga walisema, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!
Hata miezi sita haijapita, ameishasahau uwongo wake.
Huku wengine wakiendelea na fani zao za maigizo katika Jiji la Dar-es-salaam kwenye daladala na sehemu za kazi za Mama Lishe, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Magufuli ameendelea kuchanja mbuga vijijini ili kusaka kura na kuwaendeleza wananchi Ilani ya Uchaguzi 2015-2020.
#HapaKaziTu
Umoja ni Ushindi.
![]()
![]()
![]()
nadhani yatakuwa ni majengo tu yamebaki..ata uongozi WA mkoa ulishajivua gamba.
Dalili za kutokea gharika wakati wa ufunguzi wa UKAWA kumbuka hapo ilikuwa ni surprise attack.Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
Nimezikusanya taarifa za headlines kubwa za siasa Tanzania kuanzia jana CCM na leo UKAWA ambapo stori zao zitasikika kwenye AMPLIFAYA ya CloudsFM leo kuanzia saa moja usiku.
![]()
sumaye atatupiga pigo baya sana...!ndugu,
nasikia eti kwa sasa lowassa anaangalia kwa vitendo shida za wananchi.
Wakati akitangaza kugombea urais kwa tiketi ya ccm, alisema anazifahamu shida zote za wananchi. Leo yuko kwenye daladala na kwa mama lishe anadai, anajionea shida za wananchi.
Huu ni usanii kwa kiwango cha kitoto!
Wahenga walisema, ukiwa muongo, usiwe msahaulifu!
Hata miezi sita haijapita, ameishasahau uwongo wake.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.
Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, alipokagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro leo
Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi HedaluMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Hedaru, wilayani Same mkoani Kilimanjaro. Picha zote na Bashir Nkoromo, Same.
Huyu mama ndo hata hana mvuto kisiasa.pia hafit kwa siasa za sasa zinahitaji uelewa wa mambo.
Huo sasa ndio ukabila tunaousema. Yaani ccm ifutwe kwa kuwa chadema imeanzishwa na wachaga sio!