Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu


Mbona huku arusha tulijaa sanaaaa
 
Na bado . Hata hao waliovaa sare wako tu hapa kwa kuwa wanahongwa. October 25 kila mtu siri yake.
 
Mlijaa wp? Mi nilikuwepo bwana mnazindulia njiani hp kilombero mbona hamkuenda amri abed mjaze pale niliona km mkutano wa balozi wa nyumba kumi au mgombea udiwani wa act. Aibu ya ccm hiyo mmekataliwa a town hamna chenu
 
kuna msanii bongo kuliko lowassa aliyesomea kabisa fani yake?
 
Watanzania wanakumbuka kifo cha Dr Mgimwa, Dr. Mvungi, Sokoine, Kolimba, JK Nyerere, Mbwambo, Imran Kombe, Daud Mwangosi... Wanakumbuka Mateso ya Kibanda, Dr. Ulimboka ... CCM haikubaliki

Sasa wewe ulitaka afe nani

Poor thinking...
 
Mlijaa wp? Mi nilikuwepo bwana mnazindulia njiani hp kilombero mbona hamkuenda amri abed mjaze pale niliona km mkutano wa balozi wa nyumba kumi au mgombea udiwani wa act. Aibu ya ccm hiyo mmekataliwa a town hamna chenu

Acha wabishane na nguvu ya umma!
 
Kweli bana niliona pic moja hivi mama samia akiwa same daaaa!!! Watu kama 20 tu hivi. But wangempa mkata mauno diamond angepata watu but yuko alone. Nobody want to see her!!!
 
Kweli bana niliona pic moja hivi mama samia akiwa same daaaa!!! Watu kama 20 tu hivi. But wangempa mkata mauno diamond angepata watu but yuko alone. Nobody want to see her!!!

Yule ni muislam safi, hataki kuandamana na vitu haram!
 
Mama Samia, on her way to Manyara, alipita Arusha na kuonja joto baada ya kusalimiwa kwa salamu ya vidole viwili pamoja na zomea zomea ya hapa na pale. Hii ni ishara tosha kwamba CCM inahitaji kazi ya ziada maeneo ya huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…