Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Utapasuka mishipa ya shingo ndugu.
 
Mgombea urais kupitia CCM, Dr JOHN POMBE MAGUFULI anatarajia kuunguruma katika jiji la Mbeya, tukio zima litarushwa mojakwamoja na vyombo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na radio na TV

Wanainchi wote wa Mbeya wamekuwa na hamu kubwa kwa muda mrefu ya kutaka kufikisha kero zao kwa Mh Magufuli.
 
Ccm bwana.....kila picha ikiwa condensed wanasema ni mafurikoooo
 
Kama vp tuuchunie huu uzi!!Maana sio poa kukubali kudanganywa kila siku.Mungu hapendi uongo!!
 
Hawa WANANCHI nao washakuwa Waswahili kama Raisi wao. Wanamfuata kiunafki kama vile watampa Kura. Asante kwa taarifa pia
 
Mara alikwenda kuoa mara kuolewa sijui kipi ni kipi.
 
Mkaribisheni himaya ya ukawa.. Wala msimnyanyapae huenda akatangaza kuhamia ukawa siku za karibuni.... Mbeya ilikwishakombolewa siku nyingi hata wenyewe wanajua
 
Hiki kipigo lazima kikupe mapigo makali sana ya moyo. Na bado. UTAISOMA NAMBA.
Comrade,
Naona unawajibu hawa vijana wa BAVICHA kwa kutumia vielelezo.

Ulaghai na maagizo havijawahi kushinda ukweli pamoja na ukweli kutumia ngazi kuwafikia walengwa.
 
CHADOMO kesho isomeni nyomi ya Mbeya ilI mjue ccm haibahatishi kama nyie kupata wagombea. Mmeazima ccm na cuf wagombea urais aibu sana.
 
Hawa WANANCHI nao washakuwa Waswahili kama Raisi wao. Wanamfuata kiunafki kama vile watampa Kura. Asante kwa taarifa pia

Tujuze ataunguruma lini kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi huyo simba wa yuda tishio la mafisadi na wafiasi na wafadhili wake?

Huyo ndio rais tumtakaye vijana.
 

Nimepita mitaa ya soko matola nikasikia gari la matangazo likimnadi magufuri huku wakazi wengi wa maeneo hayo wakiponda na kudai Lowasa ndo habari ya mjini ilibidi gari likatishe matangazo fasta na kutimka. kweli CCM mbeya imezikwa rasmi.
 
Nimepita mitaa ya soko matola nikasikia gari la matangazo likimnadi magufuri huku wakazi wengi wa maeneo hayo wakiponda na kudai Lowasa ndo habari ya mjini ilibidi gari likatishe matangazo fasta na kutimka. kweli CCM mbeya imezikwa rasmi.

We pimbi ndo ulikuwa deleva wa hilo gari?
 
Sidhani kama kweli Mbeya mjini Pombe anakubalika. Hakuna wakazi wenye msimamo mkali kama wa Mbeya, hawaipendi ccm na ndiyo maana walishawahi kurusha mawe mawe msafara wa braza Kikwete pia nakumbuka pale mwanjelwa walishawahi kulala barabarani wakimtaka braza Jk aeleze miaka 54 nini masisiemu yameifanyia mbeya na Tanzania kwa ujumla kuondoa umaskini !?
 
Kuunguruma Ndo Nn?? New Wine In The Old Bottle! Anahubiri Maji Lakini Anakunywa Mvinyo, He Is A Blank Cheque! Anataka Kutuharibia Jiji La Mbeya...... Hv Kumbe Ccm Hawajui Wananch Wanashda Gani? Shida Za Watz Ni Kofia, Vitambaa, Madela, Buku Tano, Kucheza Ngoma, Kuona Wasanii Wa Muziki, Kushangilia Wagombea, Kushukuru, Kutishiwa ,kudanganywa, Kushangaa,kupewa Misaada, Kupigwa, Kusahau Mapema,
 
Hahahahaaaaa jamani mi mwenyewe Niko mbeya ukweli wa yote ninao mfukoni mwangu ..yahitaji moyo sana kuhutubia angali unajua hawa ndio nilioongea nao muda so mulefu...kumbe ndo maana hotuba zake ni fupi sana..duuuuuh. Furahisha Mimi were Ocampo four
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…