Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Popote Tupo, Hapa Kazi Tu. Shauriyo mburura, utaachwa
 

Mgombea mwenza wa ccm kaahaidi kila kijiji kuwapa wanawake milioni 50 na Tanzania kuna jumla ya vijiji 19,200 ina maana zinahitajika billioni 960 je hizi pesa zitatoka kwenye budget ipi na mfuko upi, pesa hizi zitatolewa kipindi cha kampeni au baada!
 

Duu naona unajua maana ya kuuteka mkoa
 
Bukanga mtoa mada hebu nyoosha maneno wacha kuwageuza wasomao mitandao mamburula. Ameutekaje mkoa wakati amepita hedaru na moshi mjini tu. ? tuonyeshe mkutano wake wa kampeni ulioshiba watu ndio tutakuamini. sasa unatuonyesha kikao cha wanafamilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…