Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mkuu wewe ongea yote ila kibarua chako cha kupiga picha lumumba na magogoni kinaisha 26 oct jiandae kisaikolojia
 
CCM kwa sasa ni imara zaidi kwa sababu wachawi wametoka-Jakaya Kikwete

Magufuli ni mchapa kazi, mzalendo, hana makundi na mwadilifu-Joseph Warioba

Angetoka JK Labda,mchawi wenu mkubwa ni JK.Kikulacho ki nguoni mwako
 

ule ugonjwa anaougua inasemekana unamfanya mtu kusahausahau
 
Mwanadiwani fani za maigizo mnazo ninyi CCM. sisi hatukurupuki na tunafanya mambo kisasa zaidi. aende hata mpaka kwa wafipa lakini tutakapoanza utauona mziki wetu ulivyo mnene kuliko wa EFM. Tunasubiri kuzindua kampeni kama mlivyofanya halafu chopa zinapasua anga kata kwa kata kijiji kwa kijiji.
Tumempeleka mgombea wetu kwa watu wa chini ili wajiridhishe kuwa ninyi mnasema uongo kwamba yeye ni mgonjwa.
 
Dalili za kutokea gharika wakati wa ufunguzi wa UKAWA kumbuka hapo ilikuwa ni surprise attack.
 
sumaye atatupiga pigo baya sana...!
 
Nimeangalia majukwaa mengine kuna thread za Magufuli huko Mpanda na JK arusha wala hakuna mtu anayechangia. Yaani muda mfupi kweli jamaa kawafuta kwenye media wenzie. Lowasa acha Sifa sasa wahurumie CCM.wamekoma hawatarudia tena!
 

Bora hujawa mburula wa kusema "maelfu wamempokea" kama wenzio wanavyotuambia huko aliko Magufuli wakati tunaona wako kama 200. Hapo tukiangalia wapo kama 140. Haya jitahidini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…