Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Siyo kosa lake.Wamemfunda uongo maana siku ile aliropokea mabosi zake jangwani hadi wengine wakashika mashavu.Sasa naona anaandikiwa cha kuongea..
 
Ili iweje? hawa walimu mnaowatesa leo mnataka kura zao?......No way
 
Tunawahakikishia walimu maslahi bora ikiwemo vitendea kazi kama laptop, internet na nyumba za kuishi
 
Msijali waalimu sisi kama ccm tunawaahidi chaja ya kobe, power bank, flash disk, na zaidi ya yote ajira nyingi zitakuwa vijijini.
 
naaapa kwa niaba ya walimu wote tanzania him hakuna kura watakayopata ccm kwa waalimu, naanawambia tumechoka na ahadi hewa ambazo mmekuwa mkituahisi kutufanya sisi kama watoto, magufuli hanashida Na sisi waalimu , sisi tunashida Na mfumo wa ccm. lowasa anatosha, na bahatinzuri hataidara nyingine hawanampango na ccm, jiandaeni kisaikolojia, hilo ndiolo la msingi. tumedai, malimbikizo, Madaraja,mishahara duni, mtu na mastars/degree mshahara sawa na mwalimu ngazi ya cheti.naapa kwauwezowangu wote na Taaluma yangu yote nitashawishi kuhakikisha hata wazazi hawawapigii Kura.
 
Tunawahakikishia walimu maslahi bora ikiwemo vitendea kazi kama laptop, internet na nyumba za kuishi

hzo ngonjera hatuna muda nazo ni kupoteza muda tu.

we need facts and reality.

LOWASSA ATOSHA MAGUFULI NI UTUMWA
 
Back
Top Bottom