Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mwisho wa asilimia ni 100,magufuli labda atapata hiyo 1 ya mwisho
 
DSC098491.jpg
 
ikungi

Nimemdharau sana Magufuli jana..Ile iliyozinduliwa jangwani ni Ilani ya bibi yake? Badala ya kuongelea mambo y a chama chake na vipaumbele vyao 38 yeye anaanza kusema UKAWA hawana ILANI huyu mzima kweli huyu?
 
Last edited by a moderator:

Wanasema ni mgonjwa.
 
ikungi

Pamoja na ilani nzuri nchi yetu bado ni masikini.rais ombaomba,80%ya watanzania wakiishi kwa chini ya Dola moja kwa siku!elimu yetu ikizikwa Kabisa na ufisadi kutamalaki.

Hapa issue si ilani,Hapa issue ni ccm
 
Last edited by a moderator:
Nimemdharau sana Magufuli jana..Ile iliyozinduliwa jangwani ni Ilani ya bibi yake? Badala ya kuongelea mambo y a chama chake na vipaumbele vyao 38 yeye anaanza kusema UKAWA hawana ILANI huyu mzima kweli huyu?

Umesahahu na SERA yake kubwa ya KUSHANGAA
 
Unajua nini ukimsema sana mtu yuko akilini mwako sana. Ndio maana kuna katuni moja anaonekana ameshikwa shati asiende ukawa . Huyu jk akiondoka nchini atamkuta malock ukawa. Maana sio bure anavyoitaja ukawa huu sio upendo bali ni mahabat
 
Huyu Mwehu tu... Atueleze Utekelezaji wa Ilani ya CCM kuanzia mwaka 1995... MALOFA tumegoma maana mlituahidi maisha bora matokeo yake yamekuwa maisha magumu kwa kila Mtanzania ..
 
Magufuli amepoteza dira...na hajui anachokifanya kwa sasa ni nini, yeye anainadi na kuitangaza UKAWA halafu UKAWA wakifika eneo hilo wana-clear sasa wananchi wanaanza kuiamini Ukawa na kumdaharau Magufuli....
 
Kote huko ni kuchanganyikiwa. Ogopa sana mtu unayemtukana kila aina ya matusi, hakafu mtu huyo anakujibu kwa hekima. Lazima utajiona mjinga na aibu itakutesa. Ndivyo anavyowatesa Lowassa. Wanamtukana wee yeye hawajibu na badala yake yeye yuko busy na ilani yake. Itafikia hatua ccm wataanza kutwangana wenyewe kwa sababu safu yao waliyoipanga ya matusi inagonga mwamba.
 
Tayari ameshapata ule ugonjwa wa CCM

Kama Mwenyekiti wake anaweza kusema uongo mchana kweupe kwamba, mikutano ya Lowassa/UKAWA ni ya kutengenezwa huyu Magufuli atashindwaje kusema kwamba UKAWA hawana ILANI.

Watanzania tumeshajua mtambo wa kutengeneza uongo unaitwa CCM
 
Huyu ndiye ana taka urais wakati hata ilani yenyewe haijui.

ImageUploadedByJamiiForums1441003343.085992.jpg
Naanza kuamini maneno ya Yericko Nyerere kuhusu matumizi ya betri na nini hutokea iwapo chaji imeisha au kushuka ghafla. Na tukumbuke matibabu hayo alianza mapema kabla ya mifumo ya Android haijaanza chaji ingeweza kufanyika juu kwa juu kwa ku boost betri
 
Last edited by a moderator:
Nimemdharau sana Magufuli jana..Ile iliyozinduliwa jangwani ni Ilani ya bibi yake? Badala ya kuongelea mambo y a chama chake na vipaumbele vyao 38 yeye anaanza kusema UKAWA hawana ILANI huyu mzima kweli huyu?
Muonee huruma tu mkuu, yeyote anayekubali kuingia katika hiki chama anakuwa amekubali kuwa na akili za pembeni hivi!!!!!
 
Mtawapa yenu ili watekeleze hayo mnayo yaongea siku zote na kuweka katika vitabu na utekelezaji wake hakuna.
 
eti ukawa hawana Ilani!!!!!! na kule ACT nikasikia eti ukawa hawama ilani kwasababu kila chama kina ilani yake!!!!! nikashangaa...
 
Back
Top Bottom