![]()
![]()
Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza,
Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.
Shikamoo mama Samia;
Shida siyo magufuli ila chama alichokuwa watu wamevhoka na CCM ahaadi debe tangu uhuru akuna kulichokamilika sanasana madeni kila mahali.Tukicheza serekali itatangazwa imefilisika kama ile.ya ugiriki kama mpaka mshahara mnakopa kwenye mab enki
...kutokana na record yake yakuchapa kaz nakutimiza sera za maendeleo ya taifa, sio muoga kutetea ukweli wala sio muoga kusimamia ukweli...
Kwa taarifa za uwakika nilizo nazo hakuna gamba litaweza kumpiku Dr Magufuli, magufuli uwenda akashinda kwa asilimia 85% mpaka 90% ktk uchaguzi unaokuja. Iman ya watanzania wengi ipo kwa Dr Magufuli kutokana na record yake yakuchapa kaz nakutimiza sera za maendeleo ya taifa, sio muoga kutetea ukweli wala sio muoga kusimamia ukweli. Mungu akambariki mpaka siku yakumkabidhi taifa. Amen