Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

tumechoka maneno yakujitungia na yasiyo na hakika,ni lazima sasa watanzania tuwe watu wakutafakar kiongoz gan anafaa na si kumponda mtu kwa kutengeneza maneno.kwenye kweli tuseme kweli,ni vyema zaid kama wewe ni mtanzania tafakar na uone wewe mwenyewe je ni kiongoz yupi anakufaa na si kutumia cm kutengeza maneno kwa wagombea.sema kwel kwa manufaa ya wengne,
 
kuna taarifa kuwa akiwa mbeya bwana makufuli alisimama barabarani katika propaganda za bei chee wanazodai eti wananchi walitaka kumuona. hatari ilitokea pale gari ya abiria ikiwa katika mwendo mkali dereva alijikuta anaelekea kuyagonga magari yaliyokuwa yameegeshwa barabarani akalazimika kufunga breki za ghafla na kuacha njia kwenda kuparamia mapori.

japo inaarifiwa hakukutokea maafa, mimi nashauri jeshi la polisi lipige marufuku kampeni za maji-taka za makufuli za kusimama hovyo barabarani kwa kisingizio cha wananchi wanataka kumuona.

Kwendaaaa mavi weweee😂
 
KWANINI CCM INA MKAKATI WA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA 2015-2020

Azwamu ya nne chini ya Mh. Prof. Kikwete imeweka mazingira rafiki na mazuri kwa kuanzishwa na kujengwa kwa viwanda hapa nchini.

Kujengwa na kuimarishwa kwa barabara za lami zinazounganisha mikoa na nchi za mipakani

Kujengwa na kuimarishwa kwa viwanja vya Ndege katika maeneo ya Mwanza, Kilimanjaro, Kigoma, Mbeya, Mtwara,.Tabora, Dodoma na Zanzibar.

Kukamilika wa bomba la gesi toka Mtwara kuja Dar kunatoa uhakika wa uwepo wa nishati ya uhakika na kwa gharama nafuu zaidi.

Kuimarishwa kwa bandari za Dsm, Zanzibar, Tanga na Mtwara

Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya yenye ubora wa kimataifa yaani standard gauge toka Dar, Tanga,Arusha, Kigali na Uganda

Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya ya kusini

Uchumi wa viwanda unataka nishati ya uhakika na nafuu, miundombinu bora, malighafi na utulivu wa kutosha. Kwa sasa vyote tunavyo.
Zaidi ni kupata kiongozi atakayesimamia na kuimarisha maendeleo kwa kasi zaidi.

TANZANIA KWA SASA TUNAHITAJI KIONGOZI MWADILIFU,ASIYE NA MAKUU,MWENYE KUTAKA MAENDELEO KWA KASI ZAIDI NA ANAEJUA SHIDA ZA WANAINCHI WAKE:

JOHN POMBE MAGUFULI kwa sasa anazo sifa zote stahiki za kuwa kiongozi wa Tanzania.
HAPA NI KAZI TU.
mkuu umetoa hadithi nyingi tunahitaji mabadiliko ya kweli sio mvinyo ule ule kwenye chupa mpya hapo hakuna kazi ni usanii .
 
kwa style hii ajenda ya ccm kuhubiri ukanda ili kutugawa haina nguvu hata kidogo.
 
Shuka ikulu zikatafute nn? Safari ya lowassa ni kuongeza wabunge ukawa,hata yeye lowassa muulize hili analijua!
 
Ndo ameanza kuwatisha watanzania na mifano mfu ya Libya!, hapa hatudanganyiki tunajua waliomtoa Gadafi ni UN baada ya kuona Gadafi ameanza kuua wapinzani wake. Ni vema akatoa mifano inayohusu uchaguzi huru ktk nchi za africa.
 
Back
Top Bottom