jastin piniel
Member
- Aug 24, 2015
- 16
- 2
Hiyo ajira mshahara sh ngapi?
Huenda Magufuli akawa mwanasiasa mkomavu zaidi Tanzania kwa hizi changamoto anazokutana nazo.!
Huenda Magufuli akawa mwanasiasa mkomavu zaidi Tanzania kwa hizi changamoto anazokutana nazo.!
Hahahahhaaa atatitwa aibu na Vijana, kuna vijana hawana adabu wanaweza kumpa Mzee za chembeONYO; Vijana tafadhalini jiepusheni kuonyesha ishara hiyo upitapo msafara wa Wassira. Yule mzee hapo lazima asimamishe Gari na kutembeza mkono hapo kama enzi zake Tyson
![]()
UKAWA kama kawa.
![]()
UKAWA kama kawa.
Hahahahhaaa atatitwa aibu na Vijana, kuna vijana hawana adabu wanaweza kumpa Mzee za chembe
Huyu jamaa hatamani kukatiza kaskazini. Ndio maana amemsakazia yule mama.
Nakuambia! Mbeya ni hatari tupu...yuko mkulu moja aliwahi kupokewa kwa mawe!