Uhongo wa kutunga huo
Kubuluzwa nini
Wacha ujinga wako wee Malfyale. Ukawa Mbeya haipo kama unavyojinadi. Hiyo Momba na Mbeya mjini nayo inarudi CCM
jakarason1974 nafikiri jibu la swali lako utalipata kwa mgombea wa Ukawa amekua mbunge wa monduli kwa Zaidi ya miaka20 hajaweza kutatua kero za wananchi.katika elimu afya miundombinu na kadhalika
Nakuambia! Mbeya ni hatari tupu...yuko mkulu moja aliwahi kupokewa kwa mawe!Mmmmmmmh! huku ni kukatisha watu tamaa aisee@