Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mid namhofia sana Wassira, ulisikia jinsi alivyo mchapa makofi Mwenyekiti wa mkoa Ccm Mara?
Halafu zamani akiwa NCCR kuna gazeti liliandika kuwa yeye ni shogaake Mrema wakimaanisha rafiki wa karibu. Mzee akatafsiri shoga ni yale mambo ya Mombasa. Lahaula! Mzee aliingia ukumbi wa habari Maelezo kama Simba au Sokwe (no offense) aliyevutishwa bange! Kizaazaa kile hakijapata tokea tena

umenivunja mbavu aisee! Kumbe wasira mtata toka zaman
 
Asante ZionGate kwa hukumu yako.

Naomba nikuambie Mungu mwenye kuhukumu sirini na ahukumuye kwa haki akaamua kati yangu na wewe!!!! Amen

Queen Esther

Aheri mdhambi asiejua kuliko wewe mnafki , leo unamtaja Mungu
 
tinga tinga leo liko wapi... maana kila likipita linavuruga vibaya vijingome vya ukawa
 
Sina tabia ya kumshambulia Mhe. Lowasa hata siku moja kwenye mambo ya Afya. Siko hivyo mpendwa.

Pitia post zangu zote na thread zangu niletea hata moja nikimsema vibaya Mhe. Lowasa kwenye suala la Afya.

I am a woman with morals and integrity. I respect Mhe. Lowasa like my father and all others. Mimi siku zote nasikia kwenye siasa hasa sera na ninapenda tubishane kwa hoja na sio kumdhalilisha tuu wa mtu.

I love and respect Mhe. Lowasa like my dad but my vote for presidency goes to HON. MAGUFULI a.k.a Jembe, tingatinga..

QueenEsther

Baada ya kuchungulia kaburi ndio unajifanya kumjua Mungu,

Wewe na mwenzako FaizaFoxy mlikuwa mnaongoza kumshambulia Lowassa kwa ugonjwa wake sasa ndio unajifanya kutuletea mafungu ya biblia, acheni kumdhihaki Mungu yeye ndiye ajuaye mgonjwa ni nani na mzima ni nani.
 
Sina tabia ya kumshambulia Mhe. Lowasa hata siku moja kwenye mambo ya Afya. Siko hivyo mpendwa.

Pitia post zangu zote na thread zangu niletee hata moja nikimsema vibaya Mhe. Lowasa kwenye suala la Afya.

I am a woman with morals and integrity. I respect Mhe. Lowasa like my father and all others. Mimi siku zote najikita kwenye siasa hasa sera na ninapenda tubishane kwa hoja na sio kudhalilisha utu wa mtu.

I love and respect Mhe. Lowasa like my dad but my vote for presidency goes to HON. MAGUFULI a.k.a Jembe, tingatinga..

QueenEsther

Baada ya kuchungulia kaburi ndio unajifanya kumjua Mungu,

Wewe na mwenzako FaizaFoxy mlikuwa mnaongoza kumshambulia Lowassa kwa ugonjwa wake sasa ndio unajifanya kutuletea mafungu ya biblia, acheni kumdhihaki Mungu yeye ndiye ajuaye mgonjwa ni nani na mzima ni nani.
 
Hollaaaaa,watajibeba,ccm chama dume,hatudanganyiki,walidanganywa libya siyo sisi
 
Hivi huyu ndio yule waziri mwenye dhamana na wakandarasi? Yule mwenye MAHABA na wachina? Wakandarasi wa ndani aliwafanyanyia nini kama sio kejeli na kuwatia umasikini? Maana hata kulipwa stahiki yao ni mbinde.Bajeti ya wizara ya ujenzi ni kubwa kuliko wizara zote lakini pesa yote inarudi China. Sababu wachina wanaagiza kila kitu toka kwao. Tunachoambulia sisi ni pesa ya mchanga, hata kokoto wanapasua wao, wanakula kwenye migahawa yao kila kitu ni wao. Kwa nini hakuweka sera nzuri kwenye ujenzi? Uchumi lazima udumae hakuna mzunguko wa pesa kwa hawa watu kila kitu kinatoka kwao kuanzia nondo mpaka tooth pick. Hata wenye nyumba hawapati pesa maana wengi wanalala site. Wakipanga wanakaa nyumba moja watu hamsini kwenye nyumba moja.-Hakujiongeza kwa hili na huo urais anajaribishwa au??
 
Bahati nzuri umenukuu Biblia na umesema Mungu hazihakiwi apandacho mtu hakika hicho atavuna. Nitumie angalau thread moja au sehemu yoyote niliyodhihaki Afya ya Mhe. Lowasa.

I am a woman with morals and integrity. To me Hon Lowasa is my Dad however my presidency vote goes to HON. MAGUFULI a.k.a Tingatinga, jembe, hapa ni kazi tuu

ANYWAY!!!!! MUNGU AHUKUMUYE KWA HAKI NA KWELI AHUKUMUYE KATI YANGU NA WEWE!!!! Amen

Queen Esther

Wewe mama ni mnafki sijapata ona afya ya Lowassa kwako ndio agenda kila siku unamgonjesha Lowassa kwa kinywa chako leo unajifanya kuongea kipendwa.

Acha unafiki na ujue MUNGU hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna na utalipwa kwa kadiri ya ulimi wako koma kumtabiria mabaya Lowassa na ilo pepo la unafiki lishindwe kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth.

Get well-soon Magufuli.
 
kuna taarifa kuwa akiwa mbeya bwana makufuli alisimama barabarani katika propaganda za bei chee wanazodai eti wananchi walitaka kumuona. hatari ilitokea pale gari ya abiria ikiwa katika mwendo mkali dereva alijikuta anaelekea kuyagonga magari yaliyokuwa yameegeshwa barabarani akalazimika kufunga breki za ghafla na kuacha njia kwenda kuparamia mapori.

japo inaarifiwa hakukutokea maafa, mimi nashauri jeshi la polisi lipige marufuku kampeni za maji-taka za makufuli za kusimama hovyo barabarani kwa kisingizio cha wananchi wanataka kumuona.
 
Wewe ccm hukohuko kwenu washamba washamba nandooo mnaitwa mapumbavu ma ccm
 
Sasa hivi ukimuona mfanyakazi wa Serikali hana nyumba ujuwe huyo si mchagga! Kumbuka hilo.

Mmmmmmh!Moja ukabila sio ishu.Mbili kama ndo hivyo nakipongeza chama cha mapinduzi kwa kuwakomboa watumishi wa umma kwa kuwajengea nyumba manake lilikuwa ni tatizo sugu kwa waalimu,watumishi wa afya,polisi wanajeshi nk nadhani sasa wote watafanya kazi kwa morali.
 
Mgombea wa CCM Magufuli amelilazimika kuonyesha alama ya nguvu ya umma inayotumiwa na CHADEMA baada ya kukumbana na wafuasi vya vyama vinavyunda UKAWA akiwa kwenye kampeni jini mbeya.







11887856_912464418791324_7613554068909964648_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom