UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,328
Uongo huo.
Werevu mna kazi ,mpumbavu akieleweshwa jambo huwa haelewi sasa wewe mwerevu pia huelewi nini ??
Uongo huo.
Unaelewa tafasiri ya maandamano?Hayakuwa maandamano...bali watu walikuwa wanatembea kuelekea mkutanoni....
Magufuli anafaaa sana Lowasa kaa pemben
Baada ya kuchungulia kaburi ndio unajifanya kumjua Mungu,USIKU WA LEO TUSIMAME NA ZABURI YA 35 NA ZABURI YA 91
Queen Esther
Kwenye taarifa ya habari saa mbili nimeshangaa kuona maandamano ya magufuri kuelekea uwanjani.polisi walipiga marufuku maandamano nchi nzima lakini leo sijaona polisi wakipiga mabomu haya maandamano yasio na kibali
![]()
acha uongo mwenyewe naangalia channel ten hicho kitu akipo
Kwenye taarifa ya habari saa mbili nimeshangaa kuona maandamano ya magufuri kuelekea uwanjani.polisi walipiga marufuku maandamano nchi nzima lakini leo sijaona polisi wakipiga mabomu haya maandamano yasio na kibali
![]()
Dunia ina raha sana,huyu nae ni mgonjwa mtu mzima amedumaa km ana lukemia,hana mwili wa pesa wala wa uwaziri.:A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41::A S 41: