Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Miongoooo miukawa but ITV imeonesha jinsii mafuriko ya watu yalivyo aaahaaa ntaumbuka
 
Maghufuli anatembelea gari kukagua miradi kwa muda mrefu sana, amepanda sana daladala ili awasurprise watumishi kwa entrance ambayo hawatakuwa suspicious nayo, amelala sana kwenye maeneo ya kazi na mafundi akila nao na kushuhudia utendaji first hand.
Tafuta thread nyingine uanzishe lakini sio kukosoa kauli ya Maghufuli kutembelea gari kwa hoja kuwa eti ni mgeni wa kufanya hivyo.
 
Nimepenyezewa video clip inayoonyesha magufuli akizomewa mbeya, na kukutana na alama ya vidole viwili (inayotumiwa sana na chadema), mpaka ikabidi nayeye atumie vidole viwili, kuonyesha vijana waliokuwa barabarani kwamba nayeye anakubali upande wa pili.

Tatizo sio magufuli, tatizo kubwa tulilonalo watanzania wengi, ni mfumo wa CCM, na lichama lao la kuneemeshana wenyewe, huku wakigandamiza haki na maendeleo ya wenge.

Pole sana magufuli, hiyo ndio CCM yako, anayokuachia Kikwete, ufe nayo!

Peeeeeeeeeppppoooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!

lowasa ni miongoni mwa walioifanya ccm kuonza na kutanjwa kama chama cha manyangau tangu 2010 na slaa, lema na mnyika,
sasa kwa kuwa amejifanya mjaja kujificha kwenye cdm ambavyo sio yake wala haimfanani,sasa tuliowengi tunamchangua mtu amnbaye anaonekana kujitengemea ili kututumika watanzania na si mwingine ni magufuli amejaribu na ameweza tumpe kura zetu,
 
Mimi mwenyewe ninamshanga makofuli anavyoshangaa matatizo ya watanzaniaas if kama ndio kayajua wakati huu. Wakati anashangaa watendaji nao wanamshangaa, nao wananchi wanamshangaa kwa waziri WA utawala uliopo madarakani anashangaa kero za watanzania. Watanzania atudanganyiki rais ajae kesho atanguruma tusikilize hoja na mipango yake thabiti yenye lengo la kuwaondoa watanzania kwenye dimbwi la umaskini,ukosefu WA ajira,elimu bora,kilimo cha kisasa na chenye tija,na uchumi mathubuti na WA kumkomboa mtanzania. Twende na lowasa 2015.[/QUOTEVV
 
Mkuu Mussa, vipi monaban atavuka Arusha kwa Lema na huu upepo Wa Mzee wetu Lowasa umeharibu kila kitu.
Monaban atajiunga na UKAWA mwishoni mwishoni mwa kampeni, Kwahiyo LEMA atapita kama ananawa! Hakuna namna tena, CCM imeyataka yenyewe! Wacha ipate adabu!
 
China?! Anataka tukajifunze ujangili?

Huyu mzee ndo wale wale alosema mzee mkapa
 
kwa babuuuu
hapa alikua anaigiza?inakuaje aigize tena mbaya zaidi ni mbinafsi mbona hakuipeleka familia yake anataka apone yy tu hapo hajapewa utawala si atataka yy tu kwanza?

attachment.php
 
[h=2][/h] Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Mgombea ubunge jimbo la Mbulu Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Fraten Maasai, akiomba kura baada ya kutambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Umati wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, leo kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiingia kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Kijana akionysha bango la kumfagilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, kwenye mkutano wa kampeni za CCM za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
​
Mgombe mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimsalimia kijana Augustine Male, mwenye ulemavu, ambaye alihudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza huyo, leo Mbulu Mjini.
​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Karatu, kwa tiketi ya CCM, Wilbard Lorri, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika kijiji cha Mbulumbulu katika jimbo hilo.
​
Mwananchi akiwa na mabango ya kuwafagilia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Mbulu mjini.
​
Wananchi katika Kijiji cha Mbulumbulu, wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufanya mkutano wa kampeni katika eneo hilo leo
​
Kina mama wakimzawadia mavazi, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mbulumbulu, wilayani Karatu, mkoani Arusha.
​
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, katika eneo la Karatu mjini, Mama Samia ambapo alilazimika kuwasalimia, wakati akiwa njiani kwenda Mbulu leo

​
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwasalimia wananchi waliosubiri msafara wake kkwenye makutano ya mkoa wa Arusha na Manyara, wakati akitoka Arusha kuingia Manyara

​
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Magugu, wilayani Bbati mkoani Manyara leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
 
Asifanishe na China, China wezi wananyongwa haijalishi una cheo i'la tz wanaongezwa vyeo au kubadilishiwa majukumu kumbe hana nia nzuri ya kututoa tulipo

mkuu Magufuli kasema ataanzisha mahakama ya kesi za ufisadi, sasa unataka ataje hukumu zao au? stay tuned utaona mwenyewe watu watakavyoihama hii nchi.
 
magufuli ndo rais wetu hatutaki majizi yanayojibadirisha rangi kumbe ni majizi tu,
 
Maghufuli anatembelea gari kukagua miradi kwa muda mrefu sana, amepanda sana daladala ili awasurprise watumishi kwa entrance ambayo hawatakuwa suspicious nayo, amelala sana kwenye maeneo ya kazi na mafundi akila nao na kushuhudia utendaji first hand.
Tafuta thread nyingine uanzishe lakini sio kukosoa kauli ya Maghufuli kutembelea gari kwa hoja kuwa eti ni mgeni wa kufanya hivyo.

We humshangai?
 
Back
Top Bottom