Tarehe 25 mtazikwa rasimi na tingatinga lenu hilo fake.
pole sana
kamwe ikulu sio pango la wagonjwa na mazezeta ataongozaje nchi yenye wasomi na vyombo vya dora ,kamwe taifa haliingi choo cha kike.
Tarehe 25 mtazikwa rasimi na tingatinga lenu hilo fake.
tatizo la ccm kamuulize lowasa miaka 35 akiwa ndani ya ccm alipofanyia wizi tangu akiwa mkurungezi wa icc arusha ,
Nimepenyezewa video clip inayoonyesha magufuli akizomewa mbeya, na kukutana na alama ya vidole viwili (inayotumiwa sana na chadema), mpaka ikabidi nayeye atumie vidole viwili, kuonyesha vijana waliokuwa barabarani kwamba nayeye anakubali upande wa pili.
Tatizo sio magufuli, tatizo kubwa tulilonalo watanzania wengi, ni mfumo wa CCM, na lichama lao la kuneemeshana wenyewe, huku wakigandamiza haki na maendeleo ya wenge.
Pole sana magufuli, hiyo ndio CCM yako, anayokuachia Kikwete, ufe nayo!
Peeeeeeeeeppppoooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!!!
Asifanishe na China, China wezi wananyongwa haijalishi una cheo i'la tz wanaongezwa vyeo au kubadilishiwa majukumu kumbe hana nia nzuri ya kututoa tulipo
Utampa kura wewe na mkeo mnaolala na kuamkia ccm.
magufuli ndo rais wetu hatutaki majizi yanayojibadirisha rangi kumbe ni majizi tu,
Duwa la kuku hilo wengine dini cio kipimo.wazungu wasingezileta hizo dini ambazo mmegeuza saccos na majukwaa ya kufanyia udhalimu kwa jina la Mungu,Mungu wako mtunze moyoni humu tunafanya siasa kwakua mmechagua siasa za kuchafuana basi msilete kisingizio cha dini,Mgombea wenu mgonjwa mwangalie jukwaani ile nguvu aliyoanzanayo kwisha anacheza na barabara za vumbi na makorongo,mwangalie leo siku yake ya sita choka tyr.
MPENDWA USIMRUSHIE MUNGU MAWE.
YATAKAPOKURUDIA MARA SABA UTAKOSA PA KUKIMBILIA. ZABURI YA 35, 109 na 91
Queen Esther
magufuli ndo rais wetu hatutaki majizi yanayojibadirisha rangi kumbe ni majizi tu,
Mkuu tubandikie hapa hata ile post yako ya kwanza, unajua siku ile watu wakiwemo Mods hawakukuelewa nafikiri ukiuleta sasa watakuelewa zaidi.Mods walimlinda magufuli wakafuta uzi wangu
Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10