Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mfumo fisadi,mfumo wa kumaskinisha watu,watu wameichoka,basi hukuna jingine linaloifaa ccm zaidi ya kupumzika
 
Hapo kwa Stanslaus Mabula na Angelina Mabula wangekuwa ni CHADEMA wamefanya hivyo wasinge Lala mpaka uchaguzi utakapokuja kumaliziki kutokana na kelele ambazo wangepigiwa na akina Nape na kundi lake.
 
Khaa!! Ule mfumo mbovu mbona umehamia ukawa! Akili fupi kwelikweli

mkuu umekosea ukawa ipi? ukawa ilikuwa ni ya slaa na lipumba tu sasa ni chadema tu,waulize miaka 35 amefanya nini serikalini lowasa,
 
Hawa watu tukiwaendekeza, wataikausha hazina, Ninachofahamu mikutano ya CCM huwa watu hawaji kwa hiari yao bila kuhongwa! Sasa hatari iliyoko ni hii ya kushindana na UKAWA ambao watu wanakuja kwa hiari yao! Mpaka uchaguzi uishe sidhani kama taifa litabakiwa hata na sumni huko hazina! Bila fedha za kuhonga hakuna hadhira CCM.
 
Hii tabia ya UKAWA kutafuta pa ku hemea si nzuri.
 
Hahahahah kweli CCM mmekwisha!! yaani mnaanzisha thread in a negative way kuvutia watu wafungue au wasome nyuzi zenu!!!
 
Sawa Mwerevu ,huyu Mungu anayeishi amekusikia na Nina Imani atakujibu kadri ulivyonena
Ubarikiwe Sana
Duwa la kuku hilo wengine dini cio kipimo.wazungu wasingezileta hizo dini ambazo mmegeuza saccos na majukwaa ya kufanyia udhalimu kwa jina la Mungu,Mungu wako mtunze moyoni humu tunafanya siasa kwakua mmechagua siasa za kuchafuana basi msilete kisingizio cha dini,Mgombea wenu mgonjwa mwangalie jukwaani ile nguvu aliyoanzanayo kwisha anacheza na barabara za vumbi na makorongo,mwangalie leo siku yake ya sita choka tyr.
 
tatizo la ccm kamuulize lowasa miaka 35 akiwa ndani ya ccm alipofanyia wizi tangu akiwa mkurungezi wa icc arusha ,


Dogo umeelewa mada kweli? Kilichoandikwa ni tofauti kabisa na ulichojibu. Umekosa nini hadi unaamua kutumia emotion?
 
lowasa ni miongoni mwa walioifanya ccm kuonza na kutanjwa kama chama cha manyangau tangu 2010 na slaa, lema na mnyika,
sasa kwa kuwa amejifanya mjaja kujificha kwenye cdm ambavyo sio yake wala haimfanani,sasa tuliowengi tunamchangua mtu amnbaye anaonekana kujitengemea ili kututumika watanzania na si mwingine ni magufuli amejaribu na ameweza tumpe kura zetu,

Tarehe 25 mtazikwa rasimi na tingatinga lenu hilo fake.
 
Hiyo ni mvinyo uleule wa zamani katika chupa mpya

wewe magufuli sio mvinyo uleule kamuulize kikwete songea alimwambia nini?
pili kawaulize makandarasi wa kichina walioboronga kujenga barabara na uwanja wa ndege alimfanyaje?

uysimpime magufuli kwa namna hiyo,

 
lowasa ni miongoni mwa walioifanya ccm kuonza na kutanjwa kama chama cha manyangau tangu 2010 na slaa, lema na mnyika,
sasa kwa kuwa amejifanya mjaja kujificha kwenye cdm ambavyo sio yake wala haimfanani,sasa tuliowengi tunamchangua mtu amnbaye anaonekana kujitengemea ili kututumika watanzania na si mwingine ni magufuli amejaribu na ameweza tumpe kura zetu,

Utampa kura wewe na mkeo mnaolala na kuamkia ccm.
 
Back
Top Bottom