Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

mchimba kaburi atatumbukia mwenyewe,

wanamwombea lowassa mabaya usiku na mchana, mpaka wakaleta wapunga majini, waseme kunamgo,bea mzee ataanguka jukwaani na kufariki,

sasa yanawarudi wenyewe?

Hakika Mungu mkubwa lowassa ataendelea kudunda kwa sababu Mungu yupo upande wake,

waacha hawa waendelee na wapunga majini yao yatawarudi wenyewe,

Mkuu Mungu yupo na upande Wa magufuli pia kwa sababu alimuumba kwa mfano wake, wacha karma afanye kazi yake
 
Mungu anaanza kuwaumbua wagonjwa kwa wale mmeangalia taarifa kupitia ITV wametangaza hiyo habari Magufuli sauti hamna kabisa .ccm kwishney
IKULU SIYO WODI YA WAGONJWA.
WAGONJWA PELEKA HOSPITAL
IKULU LOWASA ANATOSHA.
 
Ugonjwa si jambo la kumcheka mtu au kushabikia na upnde wa ccm pia eleweni hilo achemi kafanya ajizi na ugonjwa! Saa na wakato wowote unaweza pata gonjwa baya.Mungu mjalie Afya njema Magufuli
 
Hata kuongea haongei zaidi ya dakika kumi na tano. Unajipa moyo?

Huyu mgonjwa sisi hatumchaguwi watamchaguwa wachagga wasiojielewa waliouza utu wao kwa thamani ndogo.

Kumbuka hilo.

Uko wapi wewe bibi njoo huku uendeleze maneno yako.
 
Kiukweli UKAWA wamelogwa, mmetupoteza na huyo unga wasembe kichwani wenu, hivi Mbowe mzima kweli? najiona vibaya nirudipo nyumbani maana nili jishaua sana slaaaa aibu jamani
 
Wana ukawa nimependa mentality yenu ya kutanguliza utu kwanza na kumpa pole magufuli badala ya kuchekelea na kumkejeli kama wana Ccm wanavyofanya kwa Lowassa
Sasa hapo ndio utajua tofauti ya wapumbavu,malofa na werevu kina Ben Mkapa

Nimekubal mkuu usemacho
 
Katika hali isiyo ya kawaida Magufuli ameugua ghafla akiwa jukwaani na kushindwa kuongea akiwa kwenye mkutano wa hadhara mbeya
Lazima afya za wagombea zikapimwe magufuli si mzima
Source:Chanel 10

Acha ubwabwa wewe.. magufuli ana afya njema.
 
Nimekua nikiifutilia ziara ya magufuli kuanzia jangwani wiki inayomalizika,vijiji kadhaa vya mikoa ya nyanda za juu kusini simbawanga,katavi na hii mbeya na watu wengi wamekua wakimfuata naona ccm Ni kama tayari imeshashinda urais

nakuomba ujaribu kuangalia vizuri kwenye picha za hao watu wananyosha vidore vingapi alafu urudi hapa utupe majibu.
 
Back
Top Bottom