OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Sasa magari yaliyoegeshwa yalimzuia nini kupita huyo driver wa bus??!!
Watu waliziba njia??!!
Speed limit kwenye makazi ya watu ni ngapi kwani. . . . .??!! (mi najua 30-50)
Au ulitaka kutoa ujumbe gani haswa??!!!!
Watu waliziba njia??!!
Speed limit kwenye makazi ya watu ni ngapi kwani. . . . .??!! (mi najua 30-50)
Au ulitaka kutoa ujumbe gani haswa??!!!!