DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Unachagua nani kati ya Muadilifu na Mpiga dili? Chagua moja or else kura itaharibikaNakuona fisiemu katika ubora wako.
Wewe jipe moyo tu ila October utanisalimia kwa heshima na taadhima
Said Jinga letuArusha inatarajiwa kurudisha heshima yake ya kuwa jiji la wachapakazi na sio malofa wa kuandamana na kupigwa mabomu.
Kuna mpiga dili kama Magufuli? Mbona unaogopa maelezo kama unajiamini? Eti chagua moja. ...Unachagua nani kati ya Muadilifu na Mpiga dili? Chagua moja or else kura itaharibika
Tunataka mdahalo kati ya Mchapakazi- Muadilifu na Mchapakazi-Fisadi..mko tayari?Kuna mpiga dili kama Magufuli? Mbona unaogopa maelezo kama unajiamini? Eti chagua moja. ...
Kura yangu nitapiga October sio hii yako ya kimagumashi.
CCM na midahalo wapi na wapi? Mlikuwa wapi siku zote hii leo mtake mdahalo?Tunataka mdahalo kati ya Mchapakazi- Muadilifu na Mchapakazi-Fisadi..mko tayari?
Wataelewa tu
rais ni edward lowassa kama hukubariani na hili we ni mpumbavu
rais ni edward lowassa kama hukubariani na hili we ni mpumbavu