Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Magufuli amesema atawanyang'anya ardhi wale wote wanaohodhi bila kuziendeleza
 
Jakaya kikwete Mwenyekiti wa ccm amatuachia taasisi ya kutibu wagonjwa wa moyo.
 
Endelea kupitapita kwani utapata yale mengi yanayofanywa na ccm na yaliyopangwa kufanyika ndani ya 2015-2020

Mwenyekiti alionya...ukiona mtu anataka kukimbilia Ikulu kwa kutumia fedha muulize Ikulu kuna biashara gani?

Ohooo unaanza kuharibu sasa. Ya mwenyekiti mwachie mwenyekiti ya jingalao mwachie jingalao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…