Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Picha zingekuwa zinapiga kura sijui ingekuwaje... wapo watu ambao kweli wanaipenda CCM na kama kuna wapinzani wanafikiria watu hao ni wachache tusije kuona watu wanaanguka ambao hawakufikiria wanaweza kuanguka mwaka huu
Picha zingekuwa zinapiga kura sijui ingekuwaje... wapo watu ambao kweli wanaipenda CCM na kama kuna wapinzani wanafikiria watu hao ni wachache tusije kuona watu wanaanguka ambao hawakufikiria wanaweza kuanguka mwaka huu
Jamaa anaendeleza siasa za fani aliyoisomea ya maigizo.Ujana kamalizia kwenye ma-vx leo kutaka urais ndo anajifanya kupanda daladala.Mbona alipokuwa waziri mkuu hatukumuona kufanya hayo kama kweli anaguswa na kero za wananchi?.Tulimshuhudia Magufuli wakati daraja la kilosa limekatika alienda kupiga kambi pale siku kadhaa akishirikiana na mainjinia katika ujenzi.Miradi ya barabara alikuwa akiisimamia na kufanya ukaguzi wa kustukiza mara kwa mara nchi nzima.Mtendaji halisi tunae muigizaji wa niniiii?.
#Hapa kazi tuuu#
Subirini UKAWA tuanze yetu tutawanyoosha na kokoto zenu pamoja na mifugo mnayobeba kwenye malori kokoto mnapeleka site na mifugo mnaipeleka mnadani alafu mnaiita nyomi.
Wengine wao wanapanda DALA DALA NDIO KAMPENI.duh..kumbe mpanda wanaishi watu?
Endelea kupanda Dala dala, hiyo ndio kampeni kwenu. NA BADO.Pumba tupu, huyu si ndo alisema atagawa milioni 50 kila kijiji?
ilikua sio gharika ni tsunami..hapana chezea nambari wani.Hii ni SPECIAL THREAD itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Samiah Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nitakuwa naweka muendelezo kwa kila kampeni nchi nzima.
23 Agosti 2015: Uzinduzi wa Kampeni Viwanja vya Jangwani
View attachment 279916
24 Agosti, 2015: Kampeni Mkoa wa Katavi
View attachment 280004
Dr. Magufuli akihutubia wakazi wa Ifumbura wilaya ya Mpanda, Katavi
mzee umeoteza energy hawakusikii wpo kwenye daladalaPicha zingekuwa zinapiga kura sijui ingekuwaje... wapo watu ambao kweli wanaipenda CCM na kama kuna wapinzani wanafikiria watu hao ni wachache tusije kuona watu wanaanguka ambao hawakufikiria wanaweza kuanguka mwaka huu