Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

11228037_1675570456020718_6635438322737743274_n.jpg
 
Hii sasa CCM ANI SIFA. Yaani wanashambulia mpaka wanawanyima UKAWA nafasi yamkupumua?

Ccm kuonesha kua hawatanii wameshafika site,ukawa bado wanajiuliza watoke vipi.siku zenyewe 60 mpaka sasa ilani bado.ukawa watalala mapema sana uchaguzi huu
 
Huo sasa ndio ukabila tunaousema. Yaani ccm ifutwe kwa kuwa chadema imeanzishwa na wachaga sio!

hoja za kujuha izo dogo. chama chenu cha kifisadi n mawakala WA uharamia, matusi na madawa ya kulevya kitajifuta chenyewe
 
Huku wengine wakiendelea na fani zao za maigizo katika Jiji la Dar-es-salaam kwenye daladala na sehemu za kazi za Mama Lishe, Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Magufuli ameendelea kuchanja mbuga vijijini ili kusaka kura na kuwaendeleza wananchi Ilani ya Uchaguzi 2015-2020.

[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Hapa]#Hapa KaziTu[/URL]

Umoja ni Ushindi.

11950525_1670139259876744_2111597807_n.jpg

01.JPG

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni
IMG_0173.JPG

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni
IMG_0191.JPG

Jamaa anaendeleza siasa za fani aliyoisomea ya maigizo.Ujana kamalizia kwenye ma-vx leo kutaka urais ndo anajifanya kupanda daladala.Mbona alipokuwa waziri mkuu hatukumuona kufanya hayo kama kweli anaguswa na kero za wananchi?.Tulimshuhudia Magufuli wakati daraja la kilosa limekatika alienda kupiga kambi pale siku kadhaa akishirikiana na mainjinia katika ujenzi.Miradi ya barabara alikuwa akiisimamia na kufanya ukaguzi wa kustukiza mara kwa mara nchi nzima.Mtendaji halisi tunae muigizaji wa niniiii?.

#Hapa kazi tuuu#
 
MMGL1597.jpg


Hapa Lowasa akiwa Gongolamboto katika mkutano usio rasmi wa kushitukiza lakini watu wamejaa

1111111111.jpg


Hapa Samia sululu akiwa Same leo kwenye mkutano ulioandaliwa

** Ebu ringanisha umati uliojitokeza katika makundi hayo mawili je CCM bado mnajifariji kuwa mnapendwa?
 
Heshima kwenu JF.

Mwaname wa UKWELI Ndg. Magufuli Leo amezindua kampeni huko Katavi. Nimefurahi kumuona Waziri Mkuu Mhe. Pinda akimnadi. Nyomi ilikuwa sio ya mchezo. Huku ni kazi tu hakuna maigizo.

Kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi.

Usikose marudio taarifa ya habari ITV na TBC

Queen Esther
 
Oyooooo sisi mbele kwa mbele ngoja yule aliyeshambuliwa ubongo aendelee kushushwa na kupandishwa daladala maana hata kupanda ni ishu
 

​
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.



Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jioni ya leo kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo leo.Chama cha CCM kimezindua kampeni zake jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na wakereketwa wa chama hicho cha CCM



Wananchi wakishangilia wakati Waziri Mkuu Pinda alipokuwa akimnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi



Sehemu ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jonh Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.



Wananchi wa kata ya Katumba wilayani Nsimbo wakiwa wamekusanyika kwa wingi kumsikiliza Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata hiyo, wilayani Nsimbo mkoani Katavi


Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.


Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.







​
​
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

​
​
Mmoja wa wananchi akimshangilia Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika kijiji cha Mpandandogo,mkoani Katavi

​
​
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakisubiri kumisikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

​
​
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​
​
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​



​
​
Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​
​
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Kata ya Mishamo mapema leo mchana wakati wa mkutano wa kampeni wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​
​
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​
​
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​
​
Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakisubiri kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.


​
​
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pichani kushoto akiwa na baadhi ya wanachama cha CCM,ndani ya wilaya ya jimbo la Nsimbo wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi hao kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.


​
​
Wafuasi na wanachama cha CCM wakifurahia mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda mkoani Katavi.
​
 
Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi picha.
Nimezikusanya taarifa za headlines kubwa za siasa Tanzania kuanzia jana CCM na leo UKAWA ambapo stori zao zitasikika kwenye AMPLIFAYA ya CloudsFM leo kuanzia saa moja usiku.



















 
Angeenda lowassa kila mmoja angejua.
Ila ni kwasababu ni magufuli basi hiyo sio habari.
 
Magufuli ni kweli eti some time yes some time no. Mwezi mchanga???
 
Back
Top Bottom